Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake

Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais

Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake

Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao

Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la

Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi

Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena

Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri

Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?

Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!

UPDATES
Leo tarehe 6/01/2022 Job Ndugai amejiuzuru uspika
 
Kijana hata kama una njaa, jaribu kutumia njia nyingine nzuri ya kujipatia riziki ya halali. Acha kumuhusisha Mungu na upuuzi wako. Ila kama wachawi na waganga wa kienyeji nao hujifanya kumtanguliza mungu ktk ushenzi wao, basi sishangai kwa mleta mada kumuhusisha ktk upuuzi wake. Najua katibu mkuu atakutumia bando na buku 5 ya kula, lkn huko ulipo utaendelea kuteseka, kwa kosa la kuuza utu wako sababu ya njaa yako.
 
images (3).jpeg
 
Kijana acha kumuhusisha Mungu na upuuzi wako. Ila kama wachawi na waganga wa kienyeji nao hujifanya kumtanguliza mungu ktk ushenzi wao, basi sishangai kwa mleta mada kumuhusisha ktk upuuzi wake.
Mungu anasema kipimo unachompimia mwenzako ndicho utachopimiwa! Je neno hili limetimia? Hatumuhusishi Mungu Kwa bahati mbaya
 
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake

Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais

Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake

Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao

Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la

Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi

Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena

Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri

Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?

Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
Hiyo aya ya mwisho ndo umeharibu sasa!
 
Hiko kichwa cha habari, inamaana matukio mengine ya mauaji Mungu anayafurahia??
 
Makonda anasaga meno pia!
 
Back
Top Bottom