Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu


wewe ndiye umeanza kumdhihaki,kwa kujiona una haki ya kuishi kwakuwa u msafi mbele za Mungu kuliko magufuli.

hii sifa anayo roho mtakatifu pekee,hata yesu nafsi ya pili alionja mauti.

acheni mzaha na imani za watu.
 
wewe ndiye umeanza kumdhihaki,kwa kujiona una haki ya kuishi kwakuwa u msafi mbele za Mungu kuliko magufuli.

hii sifa anayo roho mtakatifu pekee,hata yesu nafsi ya pili alionja mauti.

acheni mzaha na imani za watu.
Wewe ndio umeniita Mimi roho Mtakatifu, ndio nikakwambia acha mizaa kwenye jina la Roho Mtakatifu. Halafu hakuna sehemu nimesema Mimi Ni Mtakatifu kuliko Magufuri, nimesema Mungu hufanya kazi katika njia zisizo onekana. Ndio nikasupport idea ya mtoa hoja kulingana na mtirirko alouonyesha.

Haiwezekani mtu apigwe risasi kumi na sita apone Halafu aibiwe kura kwenye uchaguzi mkuu rais adumu kwa miezi mitatu. Mimi kwangu hiyo siyo coincidence Kuna power behind.
 
Wapumbavu ndio waliopanga shambulio hilo
 
Lissu alitaka kuuawa na Mbowe kwa sababu ya Uenyekiti wa NGO yao. Serikali haiwezi kumuua kwa sababu Lisu hakuwa na Madhara hata kidogo
 
nyinyi ndio mnafanya bible ionekane haiekeweki,kumbe shida ni vichwa vyenu.

swali la ufahanu kwako,ikiwa Mungu huua anayemchukiza??wewe unemchukiza nini???
Mwanzo 38 hiyo soma mwenyewe. Unabisha nini sasa. Kuleta ujuaji
 
Lissu alitaka kuuawa na Mbowe kwa sababu ya Uenyekiti wa NGO yao. Serikali haiwezi kumuua kwa sababu Lisu hakuwa na Madhara hata kidogo
Wewe ndo huyo dada kwenye picha hapo? Unafanana na mawazo yako
 
Lissu alitaka kuuawa na Mbowe kwa sababu ya Uenyekiti wa NGO yao. Serikali haiwezi kumuua kwa sababu Lisu hakuwa na Madhara hata kidogo
Hii ni dhihaka ndogo sana ukilinganisha na dhihaka tulizopewa na magu na genge lake, tulitukanwa, tulidharauliwa tuliteswa, tulipigwa na wengine wetu walidhulumiwa haki yao ya kuishi...mwisho wa siku HAKI ILITAMALAKI
 
Mimi nilimuona kwa Short Distance Mara ya Kwanza Kawe Tanganyika parkers siku ya kufunga kampeni. Kuna namna nilikuwa najisikia isiyo ya kawaida.

Sisi watu wa kiroho tunamchukulia tofauti kabisa na watu wengine wanavyomuona.
WENDA wengine hawawezi elewa Jambo Hili, bora umenisaidia weka uwazi , huyu jamaa WENDA pia yeye hajijui nguvu iliyo ndani yake
 
Lile shambulizi liliongozwa na Makonda.
 
Lissu Hana dhambi kabisa
 
Kama Mama ana hofu ya mungu anapaswa haraka sana mchakato wa kuwasaka wote na kuwafikisha mbele ya mikono ya sheria. Ila marehemu alikuwa zaidi ya Dubu aisee sijui nani alimdanganya kuwa hii dunia ni yake matokeo yake kafa kifo kibaya sana hata kuombewa tu wakati wa ugonjwa wake hakuna yeye na mzee wa Lubaso walikuja kifo kibaya sana. Maana mzee wa Lupaso aliyoyafanya Pemba mungu ndio anajua. Yule mwenzao kapigwa upofu wa haja. Hakuna cha komandoo ama kama ndoo. Tuishi kwa kuigopa kesho. Bado mgogo yule atakufa kifo kibaya sana nyau yule.
 
Jamaa ni kichaa anashindwa tofauti kati ya Mungu na Mzungu…. Kwa ufupi tu ni kuwa hapo Ikulu ya TZ kunakikaragosi cha wazungu… ni haki yake kuwaneemesha wote waliotimiza mambo kwa maslahi mapana ya mzungu, Period. Unless others historia ya ulimwenguni hasa hasa Africa na viongozi wake imetupiga chenga kabisa.
 
Lissu hajawahi kuwa na njaa, hadharani alimkejeli Magufuli kuhusu kumteua, alimwambia kuwa yeye sio kama wale wa majalani

Lissu kujiamini kwake hakuna ulinganifu nchi hii so hawezi kukubali uteuzi wa Samia.
Inafahamika jeuri ya lissu ni kwa kuwa yuko kwenye payroll za wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…