mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Hakuna dhambi isiyosameheka isipokuwa ya kumkufuru roho Mtakatifu. Ni dhambi mbaya umefanya ya kufanya utani kwa kumuhusisha roho Mtakatifu, hilo litabaki nafsini mwako hata ukilala usingizi. Unamlinganishaje mwanadamu na roho Mtakatifu?.
Unamfanyia utani roho Mtakatifu Halafu unadai nimeiparamia Biblia. Hauna uhalali wa kunihoji kuhusu Biblia Kama unaifanyia dhihaka nafsi ya tatu ya Mungu. Kwa dhambi uliyoifanya nimwachie Mungu anayehukumu kwa yote.
Wewe Ni wa kuhurumiwa maana hata hujui umtanie Nani na wapi?
Kwa swali laki, mimi nategemea kuishi miaka ya kibiblia 70 mpaka 80. Mungu akinipendelea zaidi 130. Halafu haku
wewe ndiye umeanza kumdhihaki,kwa kujiona una haki ya kuishi kwakuwa u msafi mbele za Mungu kuliko magufuli.
hii sifa anayo roho mtakatifu pekee,hata yesu nafsi ya pili alionja mauti.
acheni mzaha na imani za watu.