Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Mwanzo 38 hiyo soma mwenyewe. Unabisha nini sasa. Kuleta ujuaji
View attachment 2068263

kila kima hapa duniani atakufa,si aliyebatizwa wala asiyebatizwa kuondoa dhambi ya asili,nakukumbusha tu utakufa nawewe.

si kwa sababu umemuudhi Mungu ila sababu aliishapitisha ufe toka adam ale tunda pale eden.
 

unadhani ni kwanini tunakatazwa kuhukumu mtu!!!tafsiri yake ikobkatika neno utukufu kwa anayetoa hukumu,sifa ambayo anabaki nayo Mungu mwenyewe.

uchaguzi haujaanza kuporwa 2020 narudia tena,risasa 16 zote zilipiga chini ya kifua cha lissu.ni kweli tutasema Mungu hakutaka lissu afe kwa risasi zile,ila kusema magufuli alifariki kwa sababu hizi hapo juu,ni kujaribu kujipumbaza na kujifariji na kifo ambacho kinamsubiri kila mtu.
 
Updates

Leo tarehe 6/01/2022 Job Ndugai amejiuzuru uspika wa Bunge

Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?
 
Updates

Leo tarehe 6/01/2022 Job Ndugai amejiuzuru uspika wa Bunge

Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?

huwenda alikasirika,lakinu pia atakuwa kakasirishwa zaidi baada ya mwenyekiti wa ccm kupingwa hadharani.
 
This is the best Karma niliyowai kushuhudia na miaka yangu 45 hapa duniani

ndugai ni speaker mstaafu anatunzwa mpaka kufa na analipwa mpaka kufa.

sema tu unajaribu kuitibu roho yako kwa faraja.
 
ndugai ni speaker mstaafu anatunzwa mpaka kufa na analipwa mpaka kufa.

sema tu unajaribu kuitibu roho yako kwa faraja.
Hatujali, atakuja kutuomba matibabu atataka tumpe referral kwenda India.

Hataipata kamwe
 
Hii laana itawamaliza mmoja baada ya mwingine

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengi muda mchache
 
Umejiuliza kwanini hali imekuwa hivyo? is it by chance? Mwenzako amewaza kwa kutumia akili.

Akili ambayo inafiti mlengo wako wa kisiasa. Akili gani Hapo mifallacy. Au wewe udogo wa ubongo wako ndo unaona hiyo akili. Pity on you.
 
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele (Gal 6:7-8)
 
Walioshiriki kutenda dhambi hii watapukutika mmoja baada ya mwingine hadi waishe. Malipo ni hapahapa duniani. Kinara wao tayari kafukiwa ardhini kitambo kidogo.
Hakika mkuu
 
Dhambi ya kujaribu kumuua Tundu Lissu itawatesa hadi kaburini; mtawahekuka na kupukutika mmoja mmoja hadi muishe. Na wewe naona dhambi hii imeanza kukutafuna. Pole sana.
 
Na katika hili mimi si mwanachama wa CHADEMA, naomba nisisitize kwa kusema MBOWE SI GAIDI.Huu unyama anofanyiwa na wenzake MUNGU ANAJUA.

Nimemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…