Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Nadhani ndiyo maana mama kampandishia vioo, hataki hata kumuona.Lile shambulizi liliongozwa na Makonda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ndiyo maana mama kampandishia vioo, hataki hata kumuona.Lile shambulizi liliongozwa na Makonda.
Mwanzo 38 hiyo soma mwenyewe. Unabisha nini sasa. Kuleta ujuaji
View attachment 2068263
Wewe ndio umeniita Mimi roho Mtakatifu, ndio nikakwambia acha mizaa kwenye jina la Roho Mtakatifu. Halafu hakuna sehemu nimesema Mimi Ni Mtakatifu kuliko Magufuri, nimesema Mungu hufanya kazi katika njia zisizo onekana. Ndio nikasupport idea ya mtoa hoja kulingana na mtirirko alouonyesha.
Haiwezekani mtu apigwe risasi kumi na sita apone Halafu aibiwe kura kwenye uchaguzi mkuu rais adumu kwa miezi mitatu. Mimi kwangu hiyo siyo coincidence Kuna power behind.
Updatesunadhani ni kwanini tunakatazwa kuhukumu mtu!!!tafsiri yake ikobkatika neno utukufu kwa anayetoa hukumu,sifa ambayo anabaki nayo Mungu mwenyewe.
uchaguzi haujaanza kuporwa 2020 narudia tena,risasa 16 zote zilipiga chini ya kifua cha lissu.ni kweli tutasema Mungu hakutaka lissu afe kwa risasi zile,ila kusema magufuli alifariki kwa sababu hizi hapo juu,ni kujaribu kujipumbaza na kujifariji na kifo ambacho kinamsubiri kila mtu.
Updates
Leo tarehe 6/01/2022 Job Ndugai amejiuzuru uspika wa Bunge
Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?
Akikujibu please nishtue ulichomjibu ndicho kilichoonekana.Mungu anasema kipimo unachompimia mwenzako ndicho utachopimiwa! Je neno hili limetimia? Hatumuhusishi Mungu Kwa bahati mbaya
This is the best Karma niliyowai kushuhudia na miaka yangu 45 hapa dunianihuwenda alikasirika,lakinu pia atakuwa kakasirishwa zaidi baada ya mwenyekiti wa ccm kupingwa hadharani.
Hawezi kuwa na jibu!Akikujibu please nishtue ulichomjibu ndicho kilichoonekana.
This is the best Karma niliyowai kushuhudia na miaka yangu 45 hapa duniani
Itafunguliwa baadae. Aombe uhai tu. Nchi ni yetu Mungu ametupa. Makonda atavuna alichopanda. Days are numberedNadhani ndiyo maana mama kampandishia vioo, hataki hata kumuona.
Hatujali, atakuja kutuomba matibabu atataka tumpe referral kwenda India.ndugai ni speaker mstaafu anatunzwa mpaka kufa na analipwa mpaka kufa.
sema tu unajaribu kuitibu roho yako kwa faraja.
Hii laana itawamaliza mmoja baada ya mwingineNamba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake
Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais
Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake
Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao
Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la
Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi
Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena
Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri
Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?
Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
UPDATES
Leo tarehe 6/01/2022 Job Ndugai amejiuzuru uspika
Mambo mengi muda mchacheNamba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake

Umejiuliza kwanini hali imekuwa hivyo? is it by chance? Mwenzako amewaza kwa kutumia akili.
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele (Gal 6:7-8)Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake
Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais
Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake
Kipilimba na Musalika- DG na DDG TISS- hawa wote hawapo kwenye nafasi zao
Mambosasa- Huyu alizuia maombi juu ya Lissu sasa haijulikani kama kastaafu au la
Balozi sokoine- Huyu aliondolewa ubalozi ubelgiji baada ya kwenda hospitali kumsalimia Lissu. Leo ni Katibu Mkuu mambo ya nje cheo kikubwa kuliko balozi
Kalemani ambae inasemwa alikuwa jirani wa Lissu na alihusika kutoa cctv camera za tukio la Lissu nae sio waziri tena
Job Ndugai- Huyu alizuia pesa za matibabu za Lissu na kuzuia mshahara wa Lissu, Kwa yanayoendelea sasa CCM inaonekana hata mwezi machi hakanyagi akiwa Spika. Katiba inasema spika akipata uspika kutokana na kuwa mbunge akipoteza ubunge anapoteza uspika. Je, CCM watamvua uanachama hivyo kukosa ubunge na uspika? Tusubiri
Waliotenda wema kwa Lissu, Mungu kawabariki, waliotenda ubaya kawaadhibu! Sasa Je jaribio la kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu?
Mwisho Naona Lissu akirejea Mama Samia atamteua kuwa Mbunge ili kumfuta machozi!
UPDATES
Leo tarehe 6/01/2022 Job Ndugai amejiuzuru uspika
Walioshiriki kutenda dhambi hii watapukutika mmoja baada ya mwingine hadi waishe. Malipo ni hapahapa duniani. Kinara wao tayari kafukiwa ardhini kitambo kidogo.
Hakika mkuuWalioshiriki kutenda dhambi hii watapukutika mmoja baada ya mwingine hadi waishe. Malipo ni hapahapa duniani. Kinara wao tayari kafukiwa ardhini kitambo kidogo.
Dhambi ya kujaribu kumuua Tundu Lissu itawatesa hadi kaburini; mtawahekuka na kupukutika mmoja mmoja hadi muishe. Na wewe naona dhambi hii imeanza kukutafuna. Pole sana.Kijana hata kama una njaa, jaribu kutumia njia nyingine nzuri ya kujipatia riziki ya halali. Acha kumuhusisha Mungu na upuuzi wako. Ila kama wachawi na waganga wa kienyeji nao hujifanya kumtanguliza mungu ktk ushenzi wao, basi sishangai kwa mleta mada kumuhusisha ktk upuuzi wake. Najua katibu mkuu atakutumia bando na buku 5 ya kula, lkn huko ulipo utaendelea kuteseka, kwa kosa la kuuza utu wako sababu ya njaa yako.
RADHI NJE NJE!