Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Inawezekana utabiri wako ukawa kweli kwa namna fulan maana kuna mmoja mpaka leo bado yuko jela, afu aliwahi kuhusishwa na kifo cha hayati Chacha Wangwe. Waswahili wanasema kikulacho kinguoni mwako, na wengine wanasema umzaniae ni rafiki yako au ndugu yako mbele ya masilahi huwa adui yako. Uenyekiti wa vyama huwa haupatikani hivi hivi.. una gharama zake.Dhambi ya kujaribu kumuua Tundu Lissu itawatesa hadi kaburini; mtawahekuka na kupukutika mmoja mmoja hadi muishe. Na wewe naona dhambi hii imeanza kukutafuna. Pole sana.
Vipi Mpe pole mwenzako Ndugai. Tumemsagia Kunguni hadi kabwaga manyanga.Akili ambayo inafiti mlengo wako wa kisiasa. Akili gani Hapo mifallacy. Au wewe udogo wa ubongo wako ndo unaona hiyo akili. Pity on you.
Kaka Uko huku wakati ulitakiwa kwenda kumfariji mwenzako Ndugai? Kweli ccm hampendani.Inawezekana utabiri wako ukawa kweli kwa namna fulan maana kuna mmoja mpaka leo bado yuko jela, afu aliwahi kuhusishwa na kifo cha hayati Chacha Wangwe. Waswahili wanasema kikulacho kinguoni mwako, na wengine wanasema umzaniae ni rafiki yako au ndugu yako mbele ya masilahi huwa adui yako. Uenyekiti wa vyama huwa haupatikani hivi hivi.. una gharama zake.
Mungu atawalipa kwa wakati wake. Hakuna aliyewahi kufikiri adhabu kubwa namna hii ingempata Ndugai.Na katika hili mimi si mwanachama wa CHADEMA, naomba nisisitize kwa kusema MBOWE SI GAIDI.Huu unyama anofanyiwa na wenzake MUNGU ANAJUA.
Nimemaliza
Watapukutika mmoja baada ya mwingine.
Wanashuka kwa kasi sana. List ni ndefuLile jaribio lilikuwa laana kubwa kwa wote waliolitekeleza na walioshangilia!
Yanazidi kutimia siku hadi sikuYote ulioandika ndio ukweli wenyewe.
Shenzi zaoWatapukutika mmoja baada ya mwingine.
Hivi unaijua vizuri ccm ama unajitoa ufahamu, ngoja nikukumbushe kidogo enzi za jiwe kuna katibu mkuu wa ccm tena master plan wa ccm unakumbuka kilichompata hadi kuwekwa chini ya ulinzi wa Tiss, chezea mambo yote soo watawala wa ccm.ndugai ni speaker mstaafu anatunzwa mpaka kufa na analipwa mpaka kufa.
sema tu unajaribu kuitibu roho yako kwa faraja.
Hivi unaijua vizuri ccm ama unajitoa ufahamu, ngoja nikukumbushe kidogo enzi za jiwe kuna katibu mkuu wa ccm tena master plan wa ccm unakumbuka kilichompata hadi kuwekwa chini ya ulinzi wa Tiss, chezea mambo yote soo watawala wa ccm.
Kwa mtizamo wako,alichofanyiwa Lissu kulikuwa kizuri mbele ya MUNGU??.Kijana hata kama una njaa, jaribu kutumia njia nyingine nzuri ya kujipatia riziki ya halali. Acha kumuhusisha Mungu na upuuzi wako. Ila kama wachawi na waganga wa kienyeji nao hujifanya kumtanguliza mungu ktk ushenzi wao, basi sishangai kwa mleta mada kumuhusisha ktk upuuzi wake. Najua katibu mkuu atakutumia bando na buku 5 ya kula, lkn huko ulipo utaendelea kuteseka, kwa kosa la kuuza utu wako sababu ya njaa yako.