Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Inawezekana utabiri wako ukawa kweli kwa namna fulan maana kuna mmoja mpaka leo bado yuko jela, afu aliwahi kuhusishwa na kifo cha hayati Chacha Wangwe. Waswahili wanasema kikulacho kinguoni mwako, na wengine wanasema umzaniae ni rafiki yako au ndugu yako mbele ya masilahi huwa adui yako. Uenyekiti wa vyama huwa haupatikani hivi hivi.. una gharama zake.Dhambi ya kujaribu kumuua Tundu Lissu itawatesa hadi kaburini; mtawahekuka na kupukutika mmoja mmoja hadi muishe. Na wewe naona dhambi hii imeanza kukutafuna. Pole sana.