Aliwafyeka najambazi wenzie kwa hilo tunamshukuruMagufuri ndo alikuja kufuta ujambazi
Nakumbuka sana ilikuwa ikifika saa kumi na mbili jion kutoka busisi ferry kwenda sengerema kabla hujafika nyampande kutekwa ilikuwa lazima wala siyo ombi
sasa hivi watu pesa wanachota tu unakuta kijana mdogo ni tajiri mkubwa na ni mtoto wa kiongozi hizo pesa katoa wapišZamani kuipata pesa ya serikali ilikuwa ni ngumu sana ndo maana kukawa na magenge kutoka kwa viongozi sasa hivi watu pesa wanachota tu unakuta kijana mdogo ni tajiri mkubwa na ni mtoto wa kiongozi hizo pesa katoa wapi
Kipindi hicho ilikuwa mtuhumiwa wa ujambazi akidakwa na polisi analazimishwa aende porini akaonyeshe wenzake walipojificha halafu wakifika porini mtuhumiwa alikuwa anajaribu "kutoroka" na kupigwa risasi "miguuni" zinazompelekea kupoteza maishaNa alitangaza hadharani, majambazi wanyang'anywe silaha harakaharaka. Alitoa ile kauli kimzahamzaha ila kumbe alimaanisha.
Baada ya hapo stori zikawa ni mwndo wa majambazi yauawa wakati yakijaribu kupambana na polisi. Yani kama wewe ni jambazi unawekwa kwenye rada, unakamatwa unapelekwa milimani/maporini unapigwa shaba kisha asubuhi na mapema unakuwa kwa niuuuuz
Hapa umechanganya kabisa Mura matukio kama hayo yanahusishwa na WACHAGA .nasikia watuhumiwa wengi walikua wanatoka mara serikali ikatumia njia ya kuwapa kipaumbele jeshini na upolisi sasa ivi hali ikawa shwari.
ukichunguza ni kama kweli 70% ya polisi na wanajeshi ni watu wenye vina saba vya mkoa wa mara
Hii ilikuwa idea nzr saanaNa alitangaza hadharani, majambazi wanyang'anywe silaha harakaharaka. Alitoa ile kauli kimzahamzaha ila kumbe alimaanisha.
Baada ya hapo stori zikawa ni mwndo wa majambazi yauawa wakati yakijaribu kupambana na polisi. Yani kama wewe ni jambazi unawekwa kwenye rada, unakamatwa unapelekwa milimani/maporini unapigwa shaba kisha asubuhi na mapema unakuwa kwa niuuuuz
'Kukamata haraka haraka'.Bwana jiwe aliukomesha
Hilo la Zombe ni kama la kipindi cha mpito, kutoka utawala wa Mkapa kuja wa JK.Kuna muingiliano wa matukio ya hivi vipindi viwili likiwemo tukio la Zombe
Kilichokuja kufuta Ujambazi ni Technologia..Magufuri ndo alikuja kufuta ujambazi
Nakumbuka sana ilikuwa ikifika saa kumi na mbili jion kutoka busisi ferry kwenda sengerema kabla hujafika nyampande kutekwa ilikuwa lazima wala siyo ombi
Siri anazodai kuwa nazo labda za kupiga chaboš¤£.Huna Siri wewe acha kuandika chai zako hapa
Hana akili anafikili humu hatujielewiSiri anazodai kuwa nazo labda za kupiga chaboš¤£.
Chifu siku hizi ujambazi umepungua kwa kuwa watu hawakai na hard cash mifumo inatumika kufanya transaction.Nimepita Chalinze Kibaha usiku mkubwa nakushuhudia vituo vingi vipya vya mafuta viko wazi huku walinzi na wahudumu wame relax kabisa.. Hili jambo nyakati hizo halikuwezekana kabisa
Unazungumziaje mawakala wa miamala ya kifedha wanaofanya kazi hadi saa 2 usiku?Chifu siku hizi ujambazi umepungua kwa kuwa watu hawakai na hard cash mifumo inatumika kufanya transaction.
Kuna boda inaweza kufukuza defender, discover, Vogue au land cruiser yoyote, sema advantage yao miaka hiyo magari hayakuwa mengi hivyo jam ingekua sio kikwazo kwao tofauti na miaka hii foleni kuanzia asubuhi hadi jioniSiku hizi si salama kuvamia na kukimbia na gari au pikipiki , zamani maboda boda kulikuwa hakuna sasa hivi ukiiba watakimbiza na pikipiki hadi wanakukamata. Mazingira yamebadilika.
Tek sio tatizo.marekani wana tek ya hali ya juu lakn ujambazi na mauaji vinafanyika tuKilichokuja kufuta Ujambazi ni Technologia..
Mambo mengi ya Ajabu yameondolewa na Technologia kwa asilimia kubwa.
Zamani watu wanaiba sana Kwasababu kwanza mambo yalikuwa gizani(hakuna umeme wa kutosha taa zinawaka mwanga mdogo) bado hakuna camera, bado hakuna data za kuweza kufatilia fedha mtakazoiba.
Zamani watu wanaiba simu mambo yanakuwa freshi tuu. Sa hivi hata kuiokota simu ni kama umeokota matatizo.
Ila leo ukiiba tatizo linakuja utadakwa tuu mfumo ukiamua kukutafuta. Njia za kujua upatikanaji wa wahusika zimekuwa rahisi
Sa hivi ujambazo umehamia kwenye kitu kinaitwa Utapeli na watu wasiojulikana. Na ni kwa vile hatujafikia hatua nzuri za technologia yakuondoa hayo. Mfano kuwe na Camera kila kona ya mji haya mambo ya wasiojulikana huwezi yasikia
Pia
Watu wamekuwa wakitapeliwa sana japo ni kwa vile hatujapata watu(police) walioko makini kwenye kuwatafuta hao matapeli