Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Tutolee kichefuchefu zilitajwa pesa zimepotea au ujenzi wa wabandari bagamoyo untulea ramli na uhalisia tumeambiwa nakuona
 
Kakoko alikuwa ni mtu wa karibu sana kwa Magufuli .
Hivyo kila jambo alilofanya Kakoko lilikuwa na baraka za Magufuli.

Kumlaumu Kakoko kuwa ndiye aliye kwamisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo siyo kweli

Kama mnataka kusema uhalisia basi msiwache kumlaumu pia Magufuli maana kama Magufuli angekuwa yupo willing hiyo bandari ijengwe naamini hakuna kiumbe yeyote chini ya jua angeweza kupinga.
 
Hauoni hata aibu Swain kabisa numbers don't lie kwamba wewe una access ya information kuliko namba moja wa nchi hii?
Muwe mnaona aibu japo kidogo aisee, CAG ni mtu mkubwa na mtu wa Profession na awamu hii ni ya kuzingatia maoni ya wataalam.
Maccm yanatuka na kukanyagana
 
Kwa uzalendo upi huo ?
Au kununua ndege amabzo amabazo hadi Leo ni mzigo kwa walipa kodi?
Huo ndiyo uzalendo?
 
Mwambieni Mkwere atuache tujenge nchi yetu,, kama miaka 10 aliyokua madarakani haikumtosha basi,, imeisha hiyo
Mnaweweseka Sana wasukuma,

Lakin Gwajima anaweza kufufua,kama vip mgongeeni matelephone muenda chato chap chap,mnaumiaaaa
 
Kwa uzalendo upi huo ?
Au kununua ndege amabzo amabazo hadi Leo ni mzigo kwa walipa kodi?
Huo ndiyo uzalendo?

Wasukuma washamba Sana,

Then uzalendo siyo kumpenda Magufuli,uzalendo ni kuipenda nchi,sasa hasa yeyote yule ambae alikuwa anampinga meko basi siyo mzalendo,sasa tusiseme kuwa ametutia hasara?Anaenda kujenga Liukutaa Lirefuu eti anazuia tanzanite isiibiwe,analinda na mitutu ya bunduki,watu Wanamwibia kama kawaida,yule dishi liliyumbaa hatukujua mapema tuh
 
Mwl Nyerere alishawahi kugusia kuwa makabila kama wasukuma no hatari sana kuwapatia nafasi kubwa kwenye nchi yetu changa kimaendeleo.
 
Mali za CCM Ni za watanzania? Acha utopolo
 

Mama hawa wanajaribu kukuzengua. Wape kitu roho yao inapenda!

Kumbe walipokuwa wanajenga airports na madaraja kwao huo ulikuwa ni uadilifu.

Hiiiiii bagosha!
 
Kwani yalikwisha??
Mbona tunawaona wapo mitaani daily.

Everyday is Saturday............................... 😎
Aliyekuwa na ubavu wa kupiga vita madawa ya kulevya alikuwa ni Paul Makonda na yule Mmasai aliye kuwa mkuu wa kitengo cha taasisi ya kudhibiti madawa ya kulevya - tangu astaafu taasisi nzima ni nadra kusikika anaweza kufikiri wahusika wote wako likizo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…