Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Umemjibu vizuri mkuuMimi ni fundi, baadhi ya mafundi wasio na weledi huwa wanamtajia Boss gharama za chini ili aingie kichwa kichwa apate kazi,akishaanza kuchimba msingi na kuleta cement na tofali hapo ndio fundi ataanza nunua hiki mara nunua hiki ambavyo ndivyo vinakuja kukutoa nje ya reli na kulala na viatu huku pagale hata kuezeka bado achilia mbali grill/plasta.
Eneo lenyewe la kuhamisha udongo . NjiroMimi ni fundi, baadhi ya mafundi wasio na weledi huwa wanamtajia Boss gharama za chini ili aingie kichwa kichwa apate kazi,akishaanza kuchimba msingi na kuleta cement na tofali hapo ndio fundi ataanza nunua hiki mara nunua hiki ambavyo ndivyo vinakuja kukutoa nje ya reli na kulala na viatu huku pagale hata kuezeka bado achilia mbali grill/plasta.
Mlangarini hakuna hiyo shida ya kuhamisha udongoEneo lenyewe la kuhamisha udongo . Njiro
Hapo tofali nunua kabisaNa jaribu December wakati wa vacation
Sio kweli my dear tuliyojenga tunajua!Aiseeee me sina uhakika sana siwezi kusema chochote
Kwa hiyo haiwezekaniSio kweli my dear tuliyojenga tunajua!
Ndivyo navyotaka mimiInatosha kabisa, bati, dirisha na milango, VINGINE utaendelea kumalizia taratibu.
Msingi tu wa hiyo nyumba unaweza kuwa tofali 800-1000Huyo fundi atakuua! In fact hiyo gharama ni kubwa sana, kwani kiujenzi, matofali mia nne (400) unapata chumba kimoja cha vipimo standard! Kwa vyumba viwili ni matofali mia nane (800) na sebule labda kwa vile ni kubwa basi kisia matofali mia nane (800) kwa hiyo ni matofali 1600 au shilingi 1,600, 000/=. Haya wengine dadavueni hiyo gharama kutoka kwenye taarifa yangu hii. Asanteni.
Mkuu naomba maneno yako yatafsiri katika namba basi ili tuone, usisahahu kutueleza ni bei za Mbagala, Wazo au Kigamboni.Hapo tofali nunua kabisa
Tofali 3500 mpaka za choo
Cement 35. Mpaka choo unatumia
Nondo 34 unafunga mkanda wa chini na lenta na choo cha upana wa futi 6 mzunguuko
Kokoto chukua mende hiyo itamaliza mpaka kufunika shimo la
Mbao za kufungia mkanda juu na chini lazima ukodi weka 150k kukodi na sahani utaongezea
Mchanga mende nne zinamaliza mpaka plasta
Madirisha mpe fundi kwa jumla na mlango kwa hii ya chuma dirisha moja moja utapigwa na kitu kizito mbao nyumba km hiyo 2by2 55 na 4by2 70 hizo usinunue zenye dawa kabisa utakuja kufa huku uamini kama umepigwa chukua oil chafu kwenye gereji halafu mpe mtu au paka mwenyewe zikiwa chini na siku fundi akianza kuweka kenchi panda juu na upake oil kila anapokata, misumali nk nunua au piga hesabu kwa meters za nyumba yako
Fundi wapo wazuri kwa bei nzuri tu na usimpe fundi kwa rejareja mpe full kuchimba mpaka tofali tatu za juu shimo unauza lote kuchimba mpaka kufunika
MAFANIKIO MEMA
Inategemea na maeneo uliopo lakini kwa gharama hyo hatakama upo maeneo gani ya nchii hyo pesa haitoshi...,,, watachakachua hyo nyumba ndani ya miaka 10 itaonekana kama jumba la miaka 50 kwa uchakavu, ushauri wangu tenga walau m 30 ndio utaweza kuimaliza hyo nyumba hadi finishing uweze kuamiaFundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau.
View attachment 1965447
Haya ukiongeza na hizo za msingi ni kama 2.6mi/=.Msingi tu wa hiyo nyumba unaweza kuwa tofali 800-1000
Sasa kama tofali tu ni 2.6m, ukiweka saruji, nondo, kokoto,mbao,bati,mchanga,labor,gharama za fundi,umeme,maji, plumbing,gharama za kukodi vifaa, kuchimba shimo la choo, fundi wa kupaua bado tu hyo m 14 ipo?Haya ukiongeza na hizo za msingi ni kama 2.6mi/=.