Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
oOh wow😍,. Sema nilizikaanga halafu nikaweka kwenye hotpot ili zisipoe ndio maana zikalegea,.Makange ya namna hiyo huitwa "changamoto", sijui waswahili hutoa wapi majina ya vyakula 😆
Uko vizuri Lee isipokuwa chips umewahi kuziopoa, bado zina mafuta pia ungeweza kuzifanyia unyade zaidi kwa kuziwekea unga wa paprika kupata karangi
View attachment 3188484
Nikipata nafasi weekend hii nitajaribu hiyo recipe ya kuziwekea unga wa paprika..
Thank you😊