Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Umeongea kama mtu mwenye exposure kubwa sana na hata kama umekaa bongo maisha yako yote Ila una curiosity level kubwa pia.I'm an artist by nature haswa kwenye kuchora na ubunifu mwingine na pia nafanya graphic design nikiwa free...
So upishi nao huwa naona ni kama art tu au project vile, ambapo ili upate chakula fulani inakubidi uwe na picha ya mwisho kichwani kabla hata hujaanza kupika, upange layers na layers za recipes kwa uangalifu na umaridadi, ujue kiwango cha moto wakati unapotokosa au kaanga chakula etc...
Aina ya upishi ambao huwa sina mzuka nao ni kufanya pastries au baking (kudeal na unga wa ngano)...
Nimekusoma vizuri na pia hongera sana mkuu 👏🏾👏🏾