Inawezekana kupika rosti/mchuzi mzito bila nyanya.

Inawezekana kupika rosti/mchuzi mzito bila nyanya.

Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito kabisa bila nyanya hata moja.
Ndiyo.

Unaweza kutumia bbq sauce, instead.

Unaweza kutumia roasted garlic sauce, cilantro lime, buffalo ranch, sweet and sour, honey mustard, tikka masala, spicy chipotle, n.k.
 
Makange ya namna hiyo huitwa "changamoto", sijui waswahili hutoa wapi majina ya vyakula 😆

Uko vizuri Lee isipokuwa chips umewahi kuziopoa, bado zina mafuta pia ungeweza kuzifanyia unyade zaidi kwa kuziwekea unga wa paprika kupata karangi

View attachment 3188484
Kigamboni kuna sehemu moja hivi wanapika changamoto matata sana.

Kuna changamoto ya sato, firigisi, maoni, kuku, na mengineyo.
 
Mkuu tangu zamani wanaojua kupika zaidi kama professionals ni wanaume, fuatilia hata chefs wengi wakubwa maarufu ni wanaume, hoteli nyingi kubwa wapishi wengi ni wanaume.
Hata sherehe kubwa naona wapishi ni wanaume, binafsi sijui kabisa kupika labda ugali wali na makande
 
Back
Top Bottom