Inawezekana kupika rosti/mchuzi mzito bila nyanya.

Umeongea kama mtu mwenye exposure kubwa sana na hata kama umekaa bongo maisha yako yote Ila una curiosity level kubwa pia.

Nimekusoma vizuri na pia hongera sana mkuu πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
@Aaliyya
Curry leaves paste,
Carry powder ( og)
Coriander paste,
ginger paste
Garlic paste
Onion paste
Chill flakes
Coriander seeds
Red Onions paste (kwa wingi)
Finger Chill
1.potato
HIVI HUWEKEKWA KWENYE MCHUZI
Vip kuhus bay leaves Huwa kazi yake nn hasa na chakula ni special kutumia?
 
Asante sana yaan nilikuwa natamani sana wanavopita naishiaga kuangalia tu video nilikuwa sielew kna mwingine alipika pilau juu akamwagia unga mwekundu aisee Ile rangi ilipemdezehaa pilau balaa
 
Nyanya na mchuzi ni kama karanga mbichi na bao zito kwa mwanaume juzi kati hapa nimetafuna karanga kisado kimoja nimekojoa bao zito kama uji wa mchele mpaka yule demu akasema we mshenzi uta uunguza uke wangu.
 
Ndiyo. Ni vile tu bongo tumekariri lazma lost liwe jekundu km nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…