Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

Diamond anamiliki roll Royce ambayo sina uhakika kama kuna mtu anayo hapa bongo
 
Diamond anamiliki roll Royce ambayo sina uhakika kama kuna mtu anayo hapa bongo

Ni sawa kabisa lakini haina maana watu hawawezi kununua.
Gari ile ina kazi moja tu,kumpandisha thamani yeye kama msanii,sio usafiri.
Kuna watu kwa nature ya kazi yao hawawezi kuwekeza 1.5 bilion kwenye gari ni ujinga.

Ila kwa msanii ni jambo la maana.
 
Unalinganisha visivyofanana. Kwa nini usimlinganishe na kina Shaffi, Kipanya n.k
Diamond ni mwanamuziki huyu Mtangazaji wapi na wapi?
Weka Resources wanazomiliki Thamani zake kwa kila mmoja tukuelewe. Vinginevyo haya ni maoni yako tu! Sio fact

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Umeshakuja na story za kijiweni! Millard hana hiyo kampuni ya Simu za Mkononi uliyosema na hata pesa anayongiza hata robo haifiki kwa pesa anayoingiza Diamond.
 
Nimekuonesha jinsi jamaa anavoingiza pesa ukiacha hapo ana miliki gari lingine la kifahari cadillac escalade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…