Sasa hapa umeandika nini mana naona hata hoja yako hujui ni Nini report ya CAG inahusianaje hapa jifunze kujua mtiririko wa hojamzee unakumbuka report ya CAG tumeshawahi pigwa trillion kumi, sasa hizo hela kwa akili yako watu wamezifukia chini ya ardhi au, ndio barclays na banks nyingine za kimataifa watu wameweka mizigo acha kukariri tafuta pesa.
Kwahio hii imetokea Tanzaniakama huna kitu kichwani kaa kimya hutapungukiwa na kitu usiongee vitu usivyovijua
kama huna kitu kichwani kaa kimya hutapungukiwa na kitu usiongee vitu usivyovijua
Series na story za vijiweni zina kuharibu,huna unachokijua kuhusu Cyber,hata nilicho kiandika huja kielewa.Bongo hakuna hackers akili yako inakwambia hackers lazima azaliwe Russia sikia wewe hackers wanafanya kazi kwa team, Bongo wapo wengi sema huwezi kutana nao kwenye dala dala, halafu kuhusu kuhack barclays brother mbona watu wanahack kila siku sema zile taarifa zinazoibwa zinauzwa black market huko, watu wanahack hadi pentagon networks unasema kuhusu bank nyie, kweli taarifa ni kitu cha gharama, ila uzushi taairifa fake ndio vitu vya bure kabisa.
Q
si ulisema sijiu wanatumia oracle nini cjuiJe Hao ndio wabongo ambao wame hack baclays Tanzania na kusema millard Ayo ana 350 million usd. Kwenye account ?
Mbona sioni baclays Tanzania hapo kwenye screen shot yako
ni kweli sijui kuhusu cyberSeries na story za vijiweni zina kuharibu,huna unachokijua kuhusu Cyber,hata nilicho kiandika huja kielewa.
ulikua hueleweli kitu nimetoa mfano kukushitua akili kidogo, taarifa za accouts kubwa zilizopo barclays hutozipata kwenye daladala ukitokea gerezani kwenda kimaraSeries na story za vijiweni zina kuharibu,huna unachokijua kuhusu Cyber,hata nilicho kiandika huja kielewa.
Haya verify kwa hiyo documents iliyokuwa hacked kwamba Millard ana hiyo USD 350 m.ni kweli sijui kuhusu cyber
lakini tambua kua
'Bogus IT guys' slurp Β£1.3m from Barclays: Cybercops cuff ...
'Bogus IT guys' slurp Β£1.3m from Barclays: Cybercops cuff 8 blokes
yaani taarifa nilizozilipia $700 nizigawe hapa kama maembe sio? nimekwambia kazitafuta kwenye blackmarket, au endelea kusikiliza taarifa za kwenye daladalaHaya verify kwa hiyo documents iliyokuwa hacked kwamba Millard ana hiyo USD 350 m.
si ulisema sijiu wanatumia oracle nini cjui
Sawa kwa nini umetuletea link ila hujaleta hiyo document kuverify.yaani taarifa nilizozilipia $700 nizigawe hapa kama maembe sio? nimekwambia kazitafuta kwenye blackmarket, au endelea kusikiliza taarifa za kwenye daladala
document ni mali yangu nimeilipiaSawa kwa nini umetuletea link ila hujaleta hiyo document kuverify.
Hata blackmarket yenyewe nikikuuliza unajisecure vipi unapoingia hujui.
acha kukimbilia vichakani si ulisema barclays wanatumia tech gani sijui oracle cjui so haiwezekani kufanya uhuniMbona unahamisha mada.
Huna unacho kijua kuhusiana blackmarket ww.Blackmarket kule hawatumii Mozila na Chrome utapigwa na kipC chako.document ni mali yangu nimeilipia
sihitaji kujilinda kwa chochote nikiwa machimbo ya blackmarket, hackers hawaibi tu bora taarifa, lazima uwe target, na ukiwa target hata ujilinde vipi watakuvizia utanasa na info watachukua na ujumbe watakuachia.
kujiuliza kwanini wameiba halafu wamedakwa haa?Haya verify kwa hiyo documents iliyokuwa hacked kwamba Millard ana hiyo USD 350 m.
Hivi ushajiuliza kwa nini hao wameiba na wamedakwa?
Huna unacho kijua mweupe kabisa katika ulimwengu wa Cyber Security nilicho gundua unapendwa kusikiliza story za vijiweni halafu unakuja huku unazani kuna wajinga kama wajinga wenzio walio kusimulia huko.kujiuliza kwanini wameiba halafu wamedakwa haa?
bogus it guys kama wewe si walishindwa kukimbia lakini waliiba, yani unaiba halafu unakaa kizembe unategemea nini
nilijua tu umekariri blackmarket.com unadhani watu makini wote taarifa kutoka kwa hackers lazima twende huko, kuna taarifa tunazipata direct kwa dms, one by one, na private websites, eti sijui kujiprotect usipigwe mtu huna valuable info uko third world country, atakupiga nani acha woga.Huna unacho kijua kuhusiana blackmarket ww.Blackmarket kule hawatumii Mozila na Chrome utapigwa na kipC chako.
Wewe usiyejua ndio wanaweza kuchukua info zako,ila kwa aliyekuwa na Knowledge ya Cyber security hawachukui chochote.
Ndio maana nimekuuliza kabla ya kuingia humo,unajiprotect vipi husipigwe.