Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Sasa hapa umeandika nini mana naona hata hoja yako hujui ni Nini report ya CAG inahusianaje hapa jifunze kujua mtiririko wa hojamzee unakumbuka report ya CAG tumeshawahi pigwa trillion kumi, sasa hizo hela kwa akili yako watu wamezifukia chini ya ardhi au, ndio barclays na banks nyingine za kimataifa watu wameweka mizigo acha kukariri tafuta pesa.