Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?


Mkuu kwa nini usianze initiative ya kukusanya picha za magari yote hayo popote yalipo kwa ajili ya ushahidi maalumu utakapo hitajika baada 28. Oktoba?
 
Naamini hiyo ni special number za kampeni za maCCM. Siamini kama ni permanently registered number kwa gari husika. Hivyo naamini endapo gari itakamatwa, basi mwenye gari ataonyesha namba yake yenye usajili wa kudumu. Naamini kwamba gari hizo zinatembea na namba zao za usajili wa kudumu pia.
 
Hayajapigwa Rangi..

Zile ni sticker mkuu,

Kama ambavyo unaona watu wanaprint sticker za ccm na kubandika magari yao.

Kampeni zikiisha utaona watabandua sticker tuu..

Kama hii hapa..View attachment 1591923
We don't care whether ni sticker or colours! The issue is CCM kutumia magari ya Serikali kufanya Kampeni za CCM!! That's a big NO!!!
 
Hakuna awamu yenye uhuni na ufisadi wa kutisha kama hii ya DJ na mjomba wake
 
Siyo kosa kisheria..!? Unakuwaje na namba zaidi ya moja kwa gari moja..!?
 
Sijakuelewa mkuu. Kuweka namba hio hio kwenye gari ina usalama gani maanake hata moja ikipiga tukio haitajulikana?
Hapa siyo mahala pa kujadili masuala ya usalama na hasa wa Rais...
 
Asiposimama? Kawaida asiposimama watu wanakariri namba tu ila ukikariri namba hii watakamata gari ipi?
 
Kila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?
Yapo yaliyoandikwa PLATINUMZ pia.Hata wewe unaweza.
 
Kuna Bus moja lilikwa linaendeshwa na Mjinga mmoja limebadikwa picha za Iddi Azzwani... Magomeni kapaki barabarani afu akawa anagoma kusogea kisa Bus la Uchaguzi nilimpigia Honi anagoma nilishuka kwa nia ya kwenda kumzaba makofi bahati akasogea hivi ni kichaa hawa jamaa wanapatwa kujiona wao ndio wenye nchi au ni ungese tu unawasumbua... nilitizama namba za Gari hilo Coaster limeandikwa T 2020 JPM... mtu anaweza kosesha mgombea wake kura kwa mamba ya kifwala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…