Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Sio kweli.

Kama sio kweli ni kwa nini msizitofautishe hizo Namba ili ikitokea Uhalifu umefanyika na moja kati ya hayo Magari ijulikane !?.Mna ficha nini hapo ..
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.


HAYO NI MAGARI YA BEPARI MOJA LINALOTOKA CHATO USISHANGAE
 
Back
Top Bottom