nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,840
Tanga wameelimika sana tu, ila tatizo ni mzunguko mdogo wa fedha. ukiwa ardhi kwa bei gali fedha zake hazitarudiBagamoyo, Msata, Chalinze hakuna mapori ya bure. Yote watu wamejaa.
Labda Tanga ndio watu hawajaelimika.
Heka moja walikuwa wanauza laki 1.
Na Sasa hivi wameshtuka
Oya MLEVi Mmoja kuna kipindi flani ulipotea humu JF. Vipi life linasonga ukoKujenga ni uhoga wa maisha
labda wapi wewe tanga ndo wameelimika na wa kwanza kustaaribika kwanza wewe mpaka leo una ungekuwa na mkono wa sweta kama sio ustaarabu wa pwaniBagamoyo, Msata, Chalinze hakuna mapori ya bure. Yote watu wamejaa.
Labda Tanga ndio watu hawajaelimika.
Heka moja walikuwa wanauza laki 1.
Na Sasa hivi wameshtuka
Wale wa KULE MBALI walio wengi hawana viwanja.. Wanaongeaga utadhani bei ya kiwanja posta au kariakoo wanaiwezaHabari wakuu
Hapa nilikuwa naweka ligi ya mabishano, hivi inawezekana kweli watu walioingia mjini hapa 1992 mpaka leo 2021 Hana hata kiwanja cha kuzugia kweli, enzi hizo maeneo ya Tegeta, Goba, Kawe, Bunju ilikuwa mapori matupu unafika unafyeka nyasi na kujipa eneo mwenyewe.
Mbaya zaidi ulikuwa ukitaka hata kiwanja cha jero pale Ubungo unapata, Sasa mtu ananiambia kaja DSM 1992 lakini tunaganga njaa hapa, imenibidi nitafakari kidogo.
Nimesikitika sanaa.
Uzi tayari ...!
Lasonga kabisa ndugu yanguOya MLEVi Mmoja kuna kipindi flani ulipotea humu JF. Vipi life linasonga uko
Shida hela amekula mwenyewe.Mkuu huyo mzee wako ni kichwa Sana...
Handeni kule walikuwa wanauza heka laki 1.amani,suwa mazingara n.k.sasa hivi ndo wameshtukalabda wapi wewe tanga ndo wameelimika na wa kwanza kustaaribika kwanza wewe mpaka leo una ungekuwa na mkono wa sweta kama sio ustaarabu wa pwani
Bagamoyo ukiingia ovyo NI kutapeliwa tuHvi nyie mkipita uku bagamoyo mkiona mapori mnajua hayana wenyewe wehu kweli nyie kila pori lina mwenyewe bei zake c za kitoto
Waaambie waje tuwauzie mapori akishanunua tu akiondoka hataa akumbuke pori lake maishaa au tumuuzie maeneo ya Epz na NafcoBagamoyo ukiingia ovyo NI kutapeliwa tu