Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

Ni kweli.

Kama ile The Woman King, ni History Nzuri sana sema wameiongeza mengi na wameyapunguza mengi pia ya msingi.
 
Sasa kwanini niisome Vizuri hiyo Bible ambayo kimsingi ni zao lao?

Kwanini nisitafute na kutazama uhalisia wa yale wao wanayoonya kwamba ni ya kishetani wakati Nipo hapa hapa Africa nyumbani kwa Mizimu?

Inakuaje pale ambapo uhalisia unapingana na maandishi yao?
 
Pesa nyingi alibahatika kuwa nazo za kumiliki mafuso 6 na nyumba kadhaa miaka ya 95 mwaka 2008 alikuja kufirisika akarudi shambani bila mafanikio mpaka Leo hii
Na ndo madhara/matokeo ya hayo mazindiko
Huwa hayaachi mtu salama
 
Huko ni noma,juzi niliambiwa nikitaka radi niingie tu hapo chipu,jana tu kuna mkasa nilipewa uliwakuta wana fulani hivi walitoka sumbawanga kwenda huko nimenyoosha mikono🙌🙌🙌🙌🙌
Chipu uchawi uko kweupe
Hupaki dawa wala nini.
Sema tu watu hawana ufahamu.
Ila hakuna uchawi na ulozi unaoshindikana Chipu.

Mkasa upi jamani....🤔
 
Biblia sio zao la Rumi na kamwe haitakaa iwe hivyo.Rumi [upapa]hauipendi Biblia kabisa kwasababu inawakosoa na kuwahukumu kwa mengi.Kwa miaka mingi walijaribu kuificha Biblia na na kudhibiti watu wasiwe nayo,lakini MUNGU aliwaibua akina Martin Luther na wengine waliofichua aibu ya Rumi na hatimaye Biblia ilitolewa mafichoni na tunayo hata leo,ingawa bado wanaendeleza mapambano ya kuidhoofisha kwa kuondoa baadhi ya vifungu vinavyo wahukumu [hawata fanikiwa kamwe].
Hicho unachoamini kuwa ni uhalisia [mila,jadi, umizimu n.k.]ni hila za Shetani/Ibilisi ili aendelee kuabudiwa, ana uwezo wa kufanya chochote ili kukuaminisha kuwa unachokiamini ndio uhalisia ilimradi usitoke kwenye himaya/milki yake.
Nyumbani kwa mizimu ni kuzimu yaliko makazi ya Shetani na wafuasi wake na sio Afrika,ingawa aliwahi kuifanya Misri kuwa falme yake [kipindi cha utawala wa Farao],alihamia mataifa mengine [Babeli n.k.]na sasa yupo Vatican.
Biblia sio ya wazungu na wala sio ya warumi,Ni NENO LA MUNGU kwa mataifa yote.
 
Hilo neno wewe limekufikiaje?

Mungu ameliwasilisha vipi hilo neno lake mpaka wewe ukalipata?

Ujuzi wa kutambua hili la Mungu na hili la shetani umeupataje?

Ni nini chanzo cha Bible na mwandishi wa kwanza kabisa wa hiyo Bible ni nani?
 
𝙳𝚞𝚗𝚒𝚊 𝚒𝚗𝚊 𝚖𝚎𝚗𝚐𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚓𝚊𝚖𝚊𝚗𝚒, 𝚗𝚊𝚜𝚑𝚊𝚗𝚐𝚊𝚊 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚋𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚓𝚞𝚞 𝚓𝚊𝚖𝚋𝚘 𝚑𝚒𝚕𝚒 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚞𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚗𝚒 𝚔𝚠𝚊𝚖𝚋𝚊 𝚑𝚊𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚖𝚋𝚘 𝚢𝚊𝚙𝚘.
 
Kwani tukisema roho tunamabisha nn haswa?? Je roho na nafsi tofauti yake Ni Nini??
 
Kuna jamaa aliweka sindano kwenye mkono imekaa miaka 9 mpaka imekuwana kutu maana wakat inatolewa ikakatika kipande, mwenyewe anadai aliwekewa Kigoma mpakan na Burundi akiambiwa kwamba inamkinga na watu wabaya na kumrahishishia kazi zake maana anauza dawa za asili
 
mtwara bila shaka
 
Tsh hili laweza kuwa jibu sahihi
 
Reactions: Tsh
Umri wako please!
L
 
katika maisha yangu sitaki kabisa mambo ya imani, licha ya kuwa nina elimu kubwa kutoka kwa wazee na pia nimeshuhudia mambo manne makubwa ambayo science ninayoiamini bado haijanipa jibu.....wasikilizeni waliowapigia simu....
Mambo yapi hayo mkuu? NACKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…