Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

Wenzenu wanaziandika kwenye kitabu kila mtu ajisomee. Za kwenu zipo kwenye hekaya.
Unafahamu kila kiumbe kina njia yake katika hii Dunia na haya Maisha?

Hizo hekaya unazozisema, unatambua zilitokana na nini badala ya maandishi?

Na zitatambulishwaje kwenye jamii Kama tayari ziko labeled “Mila potofu? Uchawi?

Na hao wanaoziita Mila potofu wamewapata ambassadors Kama wewe wa kuponda vya kwao kwa mababu zao, bado unauliza why zimebaki kuwa kwenye hekaya?

Kwamba ikiwa kwa “wenzenu ni ujuzi, maarifa + utaalamu ila ikiwa “kwenu ni uchawi na hekaya?!

Halafu mnasema Mungu kalilaani bara Afrika na hamjui kwanini!
 
Mkuu Coach Slamah Hamad kuna mengi ambayo siwezi yaweka wazi hapa.
Ila jua tu, haya mambo yapo....kwa sisi ambao kwetu ndio hiko, nakwambia tu yapo.
Malangoni ni nyumbani, ndani ya nyumba ambayo mtu huishi.
Mengine siwezi kuyaweka hapa.
Ngoja tuone...🤔
Hata kwa uchache huu bado nashukuru sana. 🙏

Kuna kila sababu hivi vitu vikafanyiwa research na kuwekwa ushahidi kwa faida ya vizazi vyetu. Ni muhimu sana.

Naelewa kwanini ni Siri , maana kwa akili za watu kwamba utaalamu wa Afrika ni uchawi na wa mzungu ni Science/Elimu, ni wazi why wanazilinda.
 
Unafahamu kila kiumbe kina njia yake katika hii Dunia na haya Maisha?

Hizo hekaya unazozisema, unatambua zilitokana na nini badala ya maandishi?

Na zitatambulishwaje kwenye jamii Kama tayari ziko labeled “Mila potofu? Uchawi?

Na hao wanaoziita Mila potofu wamewapata ambassadors Kama wewe wa kuponda vya kwao kwa mababu zao, bado unauliza why zimebaki kuwa kwenye hekaya?

Kwamba ikiwa kwa “wenzenu ni ujuzi, maarifa + utaalamu ila ikiwa “kwenu ni uchawi na hekaya?!

Halafu mnasema Mungu kalilaani bara Afrika na hamjui kwanini!
Ukiambiwa hadharani wewe ni mbaya unabatilisha hadarani kwa kuonyesha uzuri wako siyo unajificha na kunong'oneza watu kwa usiri mkubwa kuhusu uzuri wako.
 
Ushawahi kusikia malalamiko ya wenye hii elimu kuzuiliwa kufanya haya mambo ya tiba mbadala? Unless ni mambo ya ramli chonganishi au inahususha viungo vya binadamu au wanyama bila kibali.
Mkuu kila elimu inataratibu zake, naamini unalijua hilo
Unapolima mahindi huwezi kulima kwa mfumo wa kilimo cha mpunga.
Kwa maana hiyo huwezi kuwalazimisha wazee wa mila kufanya kazi zao kwa kutumia elimu hii tuliyonayo.
Wasibezwe wapo
 
Ukiambiwa hadharani wewe ni mbaya unabatilisha hadarani kwa kuonyesha uzuri wako siyo unajificha na kunong'oneza watu kwa usiri mkubwa kuhusu uzuri wako.
Hiyo ni kwa mujibu wa nani?

Kwa haraka haraka kupitia majibu yako, one would say the “Master has successfully conquered your mindset and thoroughly washed your brain.

Logic ya watu kufanya haya mambo Siri iko wazi, huwezi kuzungukwa na maadui wanaowinda ulichonacho na wewe ukaanza kukinadi hadharani, labda husiwe na akili.

Lakini pia naelewa kwanini wengi wenye utaalamu huu wa science ya Afrika wamegeukia kuutumia katika kuumizana, imagine mtu Kama wewe unavyorefusha huo mdomo kwa ubishi halafu Mimi niwe na utaalamu wa kukugeuza mdomo uwe makalioni na makalio yawe usoni, unadhani nitakuacha?

The worst enemy in this life, is your own kind.
 
Mkuu kila elimu inataratibu zake, naamini unalijua hilo
Unapolima mahindi huwezi kulima kwa mfumo wa kilimo cha mpunga.
Kwa maana hiyo huwezi kuwalazimisha wazee wa mila kufanya kazi zao kwa kutumia elimu hii tuliyonayo.
Wasibezwe wapo
Ukishaona taratibu ni za siri kubwa basi siyo elimu yenye msaada kwa jamii yote bali kwa aina fulani ya watu na hao watu wanawatumia wasio na hiyo elimu kufanikisha matumizi ya elimu hiyo au ni elimu yenye gharama kubwa kwenye jamii kiasi kuwa ikiwekwa hadharani itapigwa marufuku.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa nani?
Hiyo ni elimu jamii. Kama unataka jambo lako likubakike na jamii ni lazima uonyeshe uzuri wake na likichafuliwa hadharani unalisafisha hadharani.
Kwa haraka haraka kupitia majibu yako, one would say the “Master has successfully conquered your mindset and thoroughly washed your brain.
Twende na kiswahili. Mtu akishaanza kukiingiza kingereza kwenye mada ya kiswahili ili kusisitiza hoja huwa namuona kama mtumwa wa wazungu. Elezea hoja zako kwa kiswahili. Maneno yapo yanajitosheleza.
Logic ya watu kufanya haya mambo Siri iko wazi, huwezi kuzungukwa na maadui wanaowinda ulichonacho na wewe ukaanza kukinadi hadharani, labda husiwe na akili.
Kama ipo basi sababu ya siri kwa akili ya kawaida tu ni gharama. Unalipa nini kuweka roho yako kwenye mti? Uwezekano ni hiyo gharama ni kubwa mno jamii kuikubali. Pengine mambo ya kafara yanahusika au ni elimu hewa. Bado hujasema ni sababu zenye msingi za kufanya elimu yenye manufaa kama hii kuwa siri.
Lakini pia naelewa kwanini wengi wenye utaalamu huu wa science ya Afrika wamegeukia kuutumia katika kuumizana, imagine mtu Kama wewe unavyorefusha huo mdomo kwa ubishi halafu Mimi niwe na utaalamu wa kukugeuza mdomo uwe makalioni na makalio yawe usoni, unadhani nitakuacha?

The worst enemy in this life, is your own kind.
Njoo na hoja nje ya mihemko.
Mahospitalini wanakosolewa, vyuo vinakosolewa hiyo elimu haitolewi hadharani ili isikosolewe? Huu ni mhemko wako si sababu halisi. Kama ww ni mhusika au MCHAWI, Sema kwanini hiyo elimu haipo rasmi mpaka sasa? Unakwama wapi? Usiseme mambo ya wazungu sijui mkoloni. Ni hoja nyepesi mno.
 
Ushawahi kusikia malalamiko ya wenye hii elimu kuzuiliwa kufanya haya mambo ya tiba mbadala? Unless ni mambo ya ramli chonganishi au inahususha viungo vya binadamu au wanyama bila kibali.
Mkuu kila elimu inataratibu zake, naamini unalijua hilo
Unapolima mahindi huwezi kulima kwa mfumo wa kilimo cha mpunga.
Kwa maana hiyo huwezi kuwalazimisha wazee wa mila kufanya kazi zao kwa kutumia elimu hii tuliyonayo.
Wasibezwe wapo
Ukishaona taratibu ni za siri kubwa basi siyo elimu yenye msaada kwa wote au ni elimu yenye gharama kubwa kwenye jamii kiasi kuwa ikiwekwa hadharani itapigwa marufuku.
Daaah ...
Kwani hujui kuwa elimu ni fumbo?
Yaani hujui kuwa chanzo cha wewe kusoma ni ili ufumbue fumbo?
Kaa ukijua kubwa dunia inamafumbo mengi ndio maana inakutana na elimu tofauti tofauti ili kujifunza jinsi ya kufumbua hayo mafumbo.
Ndio maana hata elimu huu ya kawaida ina ngazi" utajifunza nursary, utajifunza primary, utajifunza secondary pia utajifunza vyuoni. Hivi yote ni sababu ya kujaribu kufungua cod.
Pia usisahau kuna elimu nyingi nyingine zinazopambana na kupata hiyo cod.
 
Kila binadamu hatma yake ni kifo unapokunywa dawa kama hizo unapingana na amri ya Mwenyezi Mungu kwamba wewe unatamani uishi milele.Hivyo ule muda ulioandikiwa ukiisha ugonjwa husika ukija unaumaliza mwili wako huku roho yako ikigoma kutoka,unaoza kabisa lakini roho haitoki.Ni heri ujilinde kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu lakini sio kwa njia hiyo
 
Mkuu kila elimu inataratibu zake, naamini unalijua hilo
Unapolima mahindi huwezi kulima kwa mfumo wa kilimo cha mpunga.
Kwa maana hiyo huwezi kuwalazimisha wazee wa mila kufanya kazi zao kwa kutumia elimu hii tuliyonayo.
Wasibezwe wapo

Daaah ...
Kwani hujui kuwa elimu ni fumbo?
Yaani hujui kuwa chanzo cha wewe kusoma ni ili ufumbue fumbo?
Kaa ukijua kubwa dunia inamafumbo mengi ndio maana inakutana na elimu tofauti tofauti ili kujifunza jinsi ya kufumbua hayo mafumbo.
Ndio maana hata elimu huu ya kawaida ina ngazi" utajifunza nursary, utajifunza primary, utajifunza secondary pia utajifunza vyuoni. Hivi yote ni sababu ya kujaribu kufungua cod.
Pia usisahau kuna elimu nyingi nyingine zinazopambana na kupata hiyo cod.
Sasa elimu ya kuweka roho kwenye mti inatolewa wapi ambapo ni rasmi ili watu wakafungue hizo code kwa stage?
 
Wakati nasoma chuo kulikuwa na mkaka kwao sumbawanga aliwahi kunisimulia story inafanana na hii alisema huyo mtu had aliwaambia mwenyew wafukue mlangoni wakakuta nguozake zimezikwa walivozitoa ndio akafa
Mkuu Coach Slamah Hamad kuna mengi ambayo siwezi yaweka wazi hapa.
Ila jua tu, haya mambo yapo....kwa sisi ambao kwetu ndio hiko, nakwambia tu yapo.
Malangoni ni nyumbani, ndani ya nyumba ambayo mtu huishi.
Mengine siwezi kuyaweka hapa.
Ngoja tuone...🤔
 
Hiyo ni elimu jamii. Kama unataka jambo lako likubakike na jamii ni lazima uonyeshe uzuri wake na likichafuliwa hadharani unalisafisha hadharani.
Ingekua hivyo, maisha yangekua magumu sana.

Elimu jamii?! Jamii ipi!?

Twende na kiswahili. Mtu akishaanza kukiingiza kingereza kwenye mada ya kiswahili ili kusisitiza hoja huwa namuona kama mtumwa wa wazungu. Elezea hoja zako kwa kiswahili. Maneno yapo yanajitosheleza.
Unanichagulia lugha ya kutumia?

Aliekwambia hiyo lugha ni ya “wazungu ni nani? Unawajua wazungu vizuri?

Ukishasema “kiingereza, wazungu wanaingiaje tena?

Stick kwenye mjadala, lugha na matumizi yake ni maamuzi tu.

Kama ipo basi sababu ya siri kwa akili ya kawaida tu ni gharama.
Kwamba mpaka umri huo na nywele zote hizo mwilini bado hujatambua tu kwamba Maisha ili uyaishi kuna gharama unailipa?
Kila sekunde ya uhai wako?

Unalipa nini kuweka roho yako kwenye mti? Uwezekano ni hiyo gharama ni kubwa mno jamii kuikubali.
Kwani unaweka roho ya jamii kwenye mti ama ni roho yako?

Jamii ikubali ili iwe nini Kama wanajamii wenyewe ndio watu kama wewe?

Pengine mambo ya kafara yanahusika au ni elimu hewa.
Wewe huo ubongo umesuuzwa haswa!

Pumzi unayovuta ni kafara tosha, waulize wakubwa kwenu.

Bado hujasema ni sababu zenye msingi za kufanya elimu yenye manufaa kama hii kuwa siri.
Ahsante.
Kwamba unatambua ni elimu yenye manufaa, inatosha.

Njoo na hoja nje ya mihemko.
🙄 me or you?!

Mahospitalini wanakosolewa, vyuo vinakosolewa hiyo elimu haitolewi hadharani ili isikosolewe?
Huko mahospitalini na vyuoni wanakokosolewa naomba unionyeshe majibu yao ya hadharani kuhusiana na hizo critics.

Unatambua mila ni nini?
Desturi na tamaduni pembeni, Mila Kama Mila?

Huu ni mhemko wako si sababu halisi.
Umeupima kwa kutumia nini?

Kama ww ni mhusika au MCHAWI, Sema kwanini hiyo elimu haipo rasmi mpaka sasa?
Hoja inapokuzidi kimo, attack mode is inevitable?!

Elimu zote unazozijua wewe, ulizipata rasmi?

Unakwama wapi? Usiseme mambo ya wazungu sijui mkoloni. Ni hoja nyepesi mno.

Alienza na kuwalinganisha “hawa na “wale ni nani?

Kanawe mikono vizuri urudi hapa.
 
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza

Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake

Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Ushatapeliwa mbwa ....... ni hivi mgonjwa wa ku palalaizi huchukua muda mrefu sababu maeneo ya mwili hasa organ muhimu kama vile moyo , maini , figo zinakuwa bado nzima kabisa

Mara nyingi wa gonjwa wa kupalalaizi hufa kwa bed sores .....vidonda vinavyotokana na kulala muda mrefu hapa hupata infections mbali mbali za vidonda hivyo ndo mwishoe kufa

Vidonda hivyo vya kulala muda mrefu huanza kuonza sometimes kutoa wadudu kama hakisafishwii mara kwa mara...... hapo ndo mbwa kama huyu huanza kusema mgonjwa ana onza kaweka roho kwenye mti mgonjwa ni mchawi yaani ujinga tu wa kiafrica wa kutofuatilia mambo

Jamani ukipalalaize utaisha muda mrefu tu shida huwa ni vidonda tu sababu unakuwa immobile.... . Dr ashampoo wa mtaani
 
Jambo lolote linalohusu mila/jadi,ni lazima zihusishe ushirikina kwa namna moja au nyingine,hiyo ni ibada ya Shetani.Iwe ni kujipatia kinga/ulinzi au jambo lolote linalohusiana na hayo,na kwakuamini unafanikiwa,huko ni kuingia mkataba na Shetani,mwisho wa siku itakugharimu tu.
Mizimu ya mababu zako ni mashetani ila mizimu ya wazungu ni watakatifu au sio?🚮🚮🚮🚮
 
Hizi hoja zako zimekaa kama unasuta. Embu tuliza ubongo twende taratibu. Jibu swali kwanini hiyo elimu ni siri. Jibu kwa ufupi tu bila mbwembwe zisizo na ulazima.
Imagine sasa unanitwisha mzigo wa namna ubongo wako unavyotafsiri maandishi yangu!?

Wewe ndio umesoma Kama unasutwa na kuziona hizo mbwembwe kwa kujenga picha kichwani mwako, Mimi binafsi nahusikaje?

ps; (Naomba nivike kitenge humo pichani sio dera pls. )😅
 
Back
Top Bottom