Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Umetajiwa mikoa na maeneo haya mambo yanafanyika, anzia huko.Kuwa wazi namaanisha zisiwe za hadithi hadithi, kwamba mtu kama anaihitaji hiyo elimu anaweza fika sehemu rasmi na akapewa maelekezo. Sehemu rasmi.
Kwamba hata mtanzania aliyeko Bariadi anamjua huyo babu yako wa hapo Kariakoo?Mfano ukihitaji kupata elimu ya kutibu malaria kwa njia ya asili unajua kabisa unaweza muona mzee fulani pale kariakoo. Ni rasmi
Rasmi kwa mujibu wa nani?
Mila zenu ni zipi hizo zilizopo wazi?MIla zetu zipo wazi.
Makumbusho ya nchi ipi?kwenye nchi yangu kuna kuna library kabisa ya asili na tamaduni zetu pale makumbusho. Litembelee.
Umetajiwa mikoa na makabila huu ujuzi unapatikana, shida nini?Utaratibu upi wa kufuata ukihitaji kupata elimu ya kuhamisha roho kwenye miti?
Wafuate walipo ndipo uanze maswali.Vinapatikana wapi? Kwa nani? Kwa utaratibu upi?
Acha ujuaji. Be humble.Hizi ni porojo.