Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hii idea nzuri sana ,kwanza unaweza anzisha NGO kabisa na ukapata fedha za mzungu mpaka uzikimbie ,Watu wenyewe si ndio nyie wabishi na wajuaji,mmekumbatia vya mzungu na kuviona Bora na kuvidharau vyenu, endeleeni kunywa mseto,waacheni wanaoupenda Uafrica wafiche roho zao kwenye miti
OK, Achana na porojo na imoji imoji nenda kwenye jibu. Sababu za msingi za elimu ya kuweka roho kwenye miti kutokuwa wazi ni zipi?ps; (Naomba nivike kitenge humo pichani sio dera pls. )😅
Madame B habar za masiku,sorry out of jokes 😂,hivi kwenye ile michezo yetu haina madhara kwenye mitambiko 😂,najua umeelewa ninachokisemeaMimi naamini kwa 100%
Kwetu Mpimbwe huko Katavi wilaya ya Tanganyika mila hii ipo.
Sio mti tu, kuna maji, mnyama, mmea, shallow graves n.k.
So sishangai huyo ndugu yako kusema hayo.
Mie mwenyewe siku nikiamua kuzindika mwili wangu, naenda tu home kwa bibi, mambo yanakuwa safi.
Sema masharti yake ndio yananishinda
Nafkiri hii inajulikana kama ipo lkn ndio hivyo mara nyingi wahusika wanaitumia kwa namna mbaya km kuangamiza n k. Ndio maana inafanyika kisirisiri. Ni km vile ipo forbidden mama inajulikana ikiachiwa ikatumika dhahir watu wengi wataumia.Upo sawa.
Juzi tumeona wizara ilianzisha tahasusi za dini mbili. A level
Je kati ya hizo umeona hata moja inayohusu hao wazee wa mila?
Km sivyo ni kwanini haipo?
Yote ya mila za kiafrika ni mabaya?
Sorry,una umri gan kwanza mkuu,?,cha kukushauri endelea kukua haya mambo utayakuta mbelen sasa hivi endelea kukaza fuvuHizi hoja zako zimekaa kama unasuta. Embu tuliza ubongo twende taratibu. Jibu swali kwanini hiyo elimu ni siri. Jibu kwa ufupi tu bila mbwembwe zisizo na ulazima.
Yeah manKama hiyo pic kwenye profile yako 🤣
Una maana gani haziko wazi?OK, Achana na porojo na imoji imoji nenda kwenye jibu. Sababu za msingi za elimu ya kuweka roho kwenye miti kutokuwa wazi ni zipi?
Ndio sababu huwa inashauriwa miti mikubwa isikatwe ovyoHalafu hii idea nzuri sana ,kwanza unaweza anzisha NGO kabisa na ukapata fedha za mzungu mpaka uzikimbie ,
Maana kwanza unaokoa maisha halafu unatunza mazingira , kwa kuhifadhi roho za watu kwenye mimea (miti)
Bonge moja la idea ,
Ngoja nilifanyie kazi ,lazima niwe bilionea kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Uko sahihi Aaliyyah.Wakati nasoma chuo kulikuwa na mkaka kwao sumbawanga aliwahi kunisimulia story inafanana na hii alisema huyo mtu had aliwaambia mwenyew wafukue mlangoni wakakuta nguozake zimezikwa walivozitoa ndio akafa
Hapo ndo shidaHata kwa uchache huu bado nashukuru sana. 🙏
Kuna kila sababu hivi vitu vikafanyiwa research na kuwekwa ushahidi kwa faida ya vizazi vyetu. Ni muhimu sana.
Naelewa kwanini ni Siri , maana kwa akili za watu kwamba utaalamu wa Afrika ni uchawi na wa mzungu ni Science/Elimu, ni wazi why wanazilinda.
Umri wangu unaenda kuombea kazi? Jikite kwenye hoja.Sorry,una umri gan kwanza mkuu,?,cha kukushauri endelea kukua haya mambo utayakuta mbelen sasa hivi endelea kukaza fuvu
Na Mimi ningependa nijue.Kwenye sayansi ya kiafrika Yapo kweli mkuu.
Nimeyashuhudia. Ila huwa nashangaa kwanini wanatafuta njia ya kuwauwa?
Kwanini wasithubutu kuangalia mwisho wake?
Interested, mkuu tutaamini vipi hii taarifa, tupe source ya taarifa tujifunzeHayo ni mambo ya kale, maarifa wazee wetu walikuwa nayo miaka hiyo. Sasa hivi vijana hawajui hayo mambo na wanaona ni kama uchawi. 😂😂😂😂
Hata vita vya maji maji, wajerumani walishindwa sema kuficha aibu wakasema wao ndiyo walishinda, ila kiundani sisi tulishinda na ile dawa ya kugeuza risasi kuwa maji ilifanya kazi kweli.
kuna jamaa angu mmoja alitoka kumzika babu yake vijiji vya mkoa wa mara huko. Aliniambia kitu kama hicho aisee.Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Mwanakondoo alishachinjwa pale Calvary na damu yake inatosha kufuta laana zote na mikosi yote inayowaandama, huhitaji tena kuchinja kondoo wengine.Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Sikatai uchawi upo ila kuna mambo mengine hata mtoto wa la kwanza tu anaona kwamba hapa tunapigwaTuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Kuwa wazi namaanisha zisiwe za hadithi hadithi, kwamba mtu kama anaihitaji hiyo elimu anaweza fika sehemu rasmi na akapewa maelekezo. Sehemu rasmi.Una maana gani haziko wazi?
Mfano ukihitaji kupata elimu ya kutibu malaria kwa njia ya asili unajua kabisa unaweza muona mzee fulani pale kariakoo. Ni rasmiKwamba kulitakiwa kuwe na shule kama Jangwani secondary school? Kwamba kuwe na kipindi shuleni na mwalimu anaefundisha “jinsi ya kuweka roho kwenye mti? Una maana hii?
MIla zetu zipo wazi. kwenye nchi yangu kuna kuna library kabisa ya asili na tamaduni zetu pale makumbusho. Litembelee.Wewe kwenye family/ukoo wako hakuna Mila? Desturi? Tamaduni?
Utaratibu upi wa kufuata ukihitaji kupata elimu ya kuhamisha roho kwenye miti?Unatambua kila elimu/utaalamu unapatikana kwa mujibu wa taratibu?
Vinapatikana wapi? Kwa nani? Kwa utaratibu upi?Sasa wewe umetafuta lini hiyo elimu ya kuweka roho kwenye mti ukaikosa? Ulifuata masharti na kutimiza vigezo?
Hizi ni porojo.Wewe hiyo elimu ya chekechea mpaka ulipoishia, ulikutana nayo barabarani ikakuvagaa ama ulifuatishwa/ulifuata utaratibu, masharti na ukatimiza vigezo ndio ukaipata?