Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Unafahamu kila kiumbe kina njia yake katika hii Dunia na haya Maisha?Wenzenu wanaziandika kwenye kitabu kila mtu ajisomee. Za kwenu zipo kwenye hekaya.
Hata kwa uchache huu bado nashukuru sana. 🙏Mkuu Coach Slamah Hamad kuna mengi ambayo siwezi yaweka wazi hapa.
Ila jua tu, haya mambo yapo....kwa sisi ambao kwetu ndio hiko, nakwambia tu yapo.
Malangoni ni nyumbani, ndani ya nyumba ambayo mtu huishi.
Mengine siwezi kuyaweka hapa.
Ngoja tuone...🤔
Ukiambiwa hadharani wewe ni mbaya unabatilisha hadarani kwa kuonyesha uzuri wako siyo unajificha na kunong'oneza watu kwa usiri mkubwa kuhusu uzuri wako.Unafahamu kila kiumbe kina njia yake katika hii Dunia na haya Maisha?
Hizo hekaya unazozisema, unatambua zilitokana na nini badala ya maandishi?
Na zitatambulishwaje kwenye jamii Kama tayari ziko labeled “Mila potofu? Uchawi?
Na hao wanaoziita Mila potofu wamewapata ambassadors Kama wewe wa kuponda vya kwao kwa mababu zao, bado unauliza why zimebaki kuwa kwenye hekaya?
Kwamba ikiwa kwa “wenzenu ni ujuzi, maarifa + utaalamu ila ikiwa “kwenu ni uchawi na hekaya?!
Halafu mnasema Mungu kalilaani bara Afrika na hamjui kwanini!
Mkuu kila elimu inataratibu zake, naamini unalijua hiloUshawahi kusikia malalamiko ya wenye hii elimu kuzuiliwa kufanya haya mambo ya tiba mbadala? Unless ni mambo ya ramli chonganishi au inahususha viungo vya binadamu au wanyama bila kibali.
Hiyo ni kwa mujibu wa nani?Ukiambiwa hadharani wewe ni mbaya unabatilisha hadarani kwa kuonyesha uzuri wako siyo unajificha na kunong'oneza watu kwa usiri mkubwa kuhusu uzuri wako.
Ukishaona taratibu ni za siri kubwa basi siyo elimu yenye msaada kwa jamii yote bali kwa aina fulani ya watu na hao watu wanawatumia wasio na hiyo elimu kufanikisha matumizi ya elimu hiyo au ni elimu yenye gharama kubwa kwenye jamii kiasi kuwa ikiwekwa hadharani itapigwa marufuku.Mkuu kila elimu inataratibu zake, naamini unalijua hilo
Unapolima mahindi huwezi kulima kwa mfumo wa kilimo cha mpunga.
Kwa maana hiyo huwezi kuwalazimisha wazee wa mila kufanya kazi zao kwa kutumia elimu hii tuliyonayo.
Wasibezwe wapo
Hiyo ni elimu jamii. Kama unataka jambo lako likubakike na jamii ni lazima uonyeshe uzuri wake na likichafuliwa hadharani unalisafisha hadharani.Hiyo ni kwa mujibu wa nani?
Twende na kiswahili. Mtu akishaanza kukiingiza kingereza kwenye mada ya kiswahili ili kusisitiza hoja huwa namuona kama mtumwa wa wazungu. Elezea hoja zako kwa kiswahili. Maneno yapo yanajitosheleza.Kwa haraka haraka kupitia majibu yako, one would say the “Master has successfully conquered your mindset and thoroughly washed your brain.
Kama ipo basi sababu ya siri kwa akili ya kawaida tu ni gharama. Unalipa nini kuweka roho yako kwenye mti? Uwezekano ni hiyo gharama ni kubwa mno jamii kuikubali. Pengine mambo ya kafara yanahusika au ni elimu hewa. Bado hujasema ni sababu zenye msingi za kufanya elimu yenye manufaa kama hii kuwa siri.Logic ya watu kufanya haya mambo Siri iko wazi, huwezi kuzungukwa na maadui wanaowinda ulichonacho na wewe ukaanza kukinadi hadharani, labda husiwe na akili.
Njoo na hoja nje ya mihemko.Lakini pia naelewa kwanini wengi wenye utaalamu huu wa science ya Afrika wamegeukia kuutumia katika kuumizana, imagine mtu Kama wewe unavyorefusha huo mdomo kwa ubishi halafu Mimi niwe na utaalamu wa kukugeuza mdomo uwe makalioni na makalio yawe usoni, unadhani nitakuacha?
The worst enemy in this life, is your own kind.
Mkuu kila elimu inataratibu zake, naamini unalijua hiloUshawahi kusikia malalamiko ya wenye hii elimu kuzuiliwa kufanya haya mambo ya tiba mbadala? Unless ni mambo ya ramli chonganishi au inahususha viungo vya binadamu au wanyama bila kibali.
Daaah ...Ukishaona taratibu ni za siri kubwa basi siyo elimu yenye msaada kwa wote au ni elimu yenye gharama kubwa kwenye jamii kiasi kuwa ikiwekwa hadharani itapigwa marufuku.
Sasa elimu ya kuweka roho kwenye mti inatolewa wapi ambapo ni rasmi ili watu wakafungue hizo code kwa stage?Mkuu kila elimu inataratibu zake, naamini unalijua hilo
Unapolima mahindi huwezi kulima kwa mfumo wa kilimo cha mpunga.
Kwa maana hiyo huwezi kuwalazimisha wazee wa mila kufanya kazi zao kwa kutumia elimu hii tuliyonayo.
Wasibezwe wapo
Daaah ...
Kwani hujui kuwa elimu ni fumbo?
Yaani hujui kuwa chanzo cha wewe kusoma ni ili ufumbue fumbo?
Kaa ukijua kubwa dunia inamafumbo mengi ndio maana inakutana na elimu tofauti tofauti ili kujifunza jinsi ya kufumbua hayo mafumbo.
Ndio maana hata elimu huu ya kawaida ina ngazi" utajifunza nursary, utajifunza primary, utajifunza secondary pia utajifunza vyuoni. Hivi yote ni sababu ya kujaribu kufungua cod.
Pia usisahau kuna elimu nyingi nyingine zinazopambana na kupata hiyo cod.
Mkuu Coach Slamah Hamad kuna mengi ambayo siwezi yaweka wazi hapa.
Ila jua tu, haya mambo yapo....kwa sisi ambao kwetu ndio hiko, nakwambia tu yapo.
Malangoni ni nyumbani, ndani ya nyumba ambayo mtu huishi.
Mengine siwezi kuyaweka hapa.
Ngoja tuone...🤔
Me naaminiUmeamini
Ingekua hivyo, maisha yangekua magumu sana.Hiyo ni elimu jamii. Kama unataka jambo lako likubakike na jamii ni lazima uonyeshe uzuri wake na likichafuliwa hadharani unalisafisha hadharani.
Unanichagulia lugha ya kutumia?Twende na kiswahili. Mtu akishaanza kukiingiza kingereza kwenye mada ya kiswahili ili kusisitiza hoja huwa namuona kama mtumwa wa wazungu. Elezea hoja zako kwa kiswahili. Maneno yapo yanajitosheleza.
Kwamba mpaka umri huo na nywele zote hizo mwilini bado hujatambua tu kwamba Maisha ili uyaishi kuna gharama unailipa?Kama ipo basi sababu ya siri kwa akili ya kawaida tu ni gharama.
Kwani unaweka roho ya jamii kwenye mti ama ni roho yako?Unalipa nini kuweka roho yako kwenye mti? Uwezekano ni hiyo gharama ni kubwa mno jamii kuikubali.
Wewe huo ubongo umesuuzwa haswa!Pengine mambo ya kafara yanahusika au ni elimu hewa.
Ahsante.Bado hujasema ni sababu zenye msingi za kufanya elimu yenye manufaa kama hii kuwa siri.
🙄 me or you?!Njoo na hoja nje ya mihemko.
Huko mahospitalini na vyuoni wanakokosolewa naomba unionyeshe majibu yao ya hadharani kuhusiana na hizo critics.Mahospitalini wanakosolewa, vyuo vinakosolewa hiyo elimu haitolewi hadharani ili isikosolewe?
Umeupima kwa kutumia nini?Huu ni mhemko wako si sababu halisi.
Hoja inapokuzidi kimo, attack mode is inevitable?!Kama ww ni mhusika au MCHAWI, Sema kwanini hiyo elimu haipo rasmi mpaka sasa?
duu kumbe bima ya asili ipo miaka na miaka! swala la michango na ukusanyaji wake ndio utata unapoanzia😛😛Yaani si unajua mambo ya bima ya afya ya mwafrica sasa katika hiyo bima mojawapo ndio ipo hiyo dawa kama kinga tu kutodhuliwa na watu wenye roho mbaya
Ushatapeliwa mbwa ....... ni hivi mgonjwa wa ku palalaizi huchukua muda mrefu sababu maeneo ya mwili hasa organ muhimu kama vile moyo , maini , figo zinakuwa bado nzima kabisaTuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Hizi hoja zako zimekaa kama unasuta. Embu tuliza ubongo twende taratibu. Jibu swali kwanini hiyo elimu ni siri. Jibu kwa ufupi tu bila mbwembwe zisizo na ulazima.Kanawe mikono vizuri urudi hapa.
Mizimu ya mababu zako ni mashetani ila mizimu ya wazungu ni watakatifu au sio?🚮🚮🚮🚮Jambo lolote linalohusu mila/jadi,ni lazima zihusishe ushirikina kwa namna moja au nyingine,hiyo ni ibada ya Shetani.Iwe ni kujipatia kinga/ulinzi au jambo lolote linalohusiana na hayo,na kwakuamini unafanikiwa,huko ni kuingia mkataba na Shetani,mwisho wa siku itakugharimu tu.
Imagine sasa unanitwisha mzigo wa namna ubongo wako unavyotafsiri maandishi yangu!?Hizi hoja zako zimekaa kama unasuta. Embu tuliza ubongo twende taratibu. Jibu swali kwanini hiyo elimu ni siri. Jibu kwa ufupi tu bila mbwembwe zisizo na ulazima.
Kama hiyo pic kwenye profile yako 🤣Mizimu ya mababu zako ni mashetani ila mizimu ya wazungu ni watakatifu au sio?🚮🚮🚮🚮