Hii haijakaa, imesimamaDah, imekaaje hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haijakaa, imesimamaDah, imekaaje hii?
Hii haijakaa, imesimamaDah, imekaaje hii?
Haijasimama imesibaba.Hii haijakaa, imesimama
na hii ndio mbinu wanayoitumia wengi. Wengne huwa wakitoboa wanawaita.Hiyo ipo hasa kwa watu wenye umri mkubwa ni mambo ya dawa za asili mara nyingi anachukuliwa mgonjwa husika anawekwa ndani alafu sehem ya paa inatobolewa kidogo anapigwa na ule mwaga wa jua akiwa ndani hapo ndio anakata roho vingnevyo ataoza na harufu juu
Usilolijua ni kma usiku wa giza mshukuruni Mungu kwakila jamboTuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Imekaa njema.Mi naona tuanze safari mwisho wa mwezi tukajiweke sawa!
Wewe utakuwa ni msukuma.Hiyo ipo hasa kwa watu wenye umri mkubwa ni mambo ya dawa za asili mara nyingi anachukuliwa mgonjwa husika anawekwa ndani alafu sehem ya paa inatobolewa kidogo anapigwa na ule mwaga wa jua akiwa ndani hapo ndio anakata roho vingnevyo ataoza na harufu juu
Asante kwa mawazo yako inaonesha jinsi gani huna ufaham juu ya hiloWewe utakuwa ni msukuma.
Yeah
Mbongo ubisha kila kitu wakati mzungu mwenyewe anafanya matambiko, Nakumbuka mwaka 2016 nipo Kilimanjaro kibarua nilishuhudia wazungu wanafanya mila zao sembuse sisi kima.Ushatapeliwa mbwa ....... ni hivi mgonjwa wa ku palalaizi huchukua muda mrefu sababu maeneo ya mwili hasa organ muhimu kama vile moyo , maini , figo zinakuwa bado nzima kabisa
Mara nyingi wa gonjwa wa kupalalaizi hufa kwa bed sores .....vidonda vinavyotokana na kulala muda mrefu hapa hupata infections mbali mbali za vidonda hivyo ndo mwishoe kufa
Vidonda hivyo vya kulala muda mrefu huanza kuonza sometimes kutoa wadudu kama hakisafishwii mara kwa mara...... hapo ndo mbwa kama huyu huanza kusema mgonjwa ana onza kaweka roho kwenye mti mgonjwa ni mchawi yaani ujinga tu wa kiafrica wa kutofuatilia mambo
Jamani ukipalalaize utaisha muda mrefu tu shida huwa ni vidonda tu sababu unakuwa immobile.... . Dr ashampoo wa mtaani
Kafanye mkuuu ....kwani mzungu ndo kipimo cha akiliMbongo ubisha kila kitu wakati mzungu mwenyewe anafanya matambiko, Nakumbuka mwaka 2016 nipo Kilimanjaro kibarua nilishuhudia wazungu wanafanya mila zao sembuse sisi kima.
Hakuna roho mkuu, hizo ni hadithi za watu tu.Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Wewe mwenye akili umeshafanya jitihada gani kutafuta hayo maarifa kuyafata yalipo, kuuliza wanaojua (wazee), ili uyarekodi kwenye daftari au kuandika kitabu na uweke hadharani au umekalisha tu mapumbu hapo unakebehi na kuongea kwa kufoka hadi unatutemea mimate..Ujinga tu. Binadamu mwenye akili akiwa na elimu yenye manufaa anaiweka hadharani, kwenye vitabu, mashuleni. Sasa wewe una jambo lako unalifichaaaa unakufa nalo halafu uonekane mjanja?
Kila unachokiandika umekiwaza, ukatafakari ndipo ukaweka kwenye maandishi. Usiku wote huu hizi ndo chaguzi za maneno ambayo ubongo wako unachakata.au umekalisha tu mapumbu hapo.
Bora kuficha roho kwenye mti...
🤣🤣🤣🤣🤣Kama mapori ya Tabora Yanavyofyekwa sishauri kuficha huko roho zetu... mpango ni juu ya mlima KilimanjaroUkimuona mtu kashika chain saw anakatiza mitaa yako unaanza kumfuatilia anakoelekea😃😃😃😃