Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Kama ajalia mtu mzima kwaajili ya mapenzi unataka aliye mtoto maana mapenzi ni watu wazima
 
Shakespear kafa karne gan huko sijui ila mashairi yake ya mapenzi yanaishi na kutengenezewa movie hadi waleo, samson alituangusha wananzengo kwa kumlegezea delilah, cleopatra anakumbukwa kwa uzuri wake hadi leo na aliburuza kweli wakubwa enzi hizo, hellen of troy kama sio fiction ya wagiriki alisababisha vita ya taifa na taifa kisa tu mapenzi e.t.c...

Siku Cherokee D ass akifa wanaume wengi tutalia machozi yale ya kupenga kamasi kabisa acha tu..
 
Yaonekana wewe ulishapitia mengi kwenye mahusiano in your 20's, sasa usishangae ambao hawajawahi kuwa na misukosuko kama uliyopitia wewe kipindi hiko. Mapenzi hayana umri ila experience, sasa usiwashangae ambao hawana experience kama yako.
 
Tatizo watu wanachanganya Sana aina za mapenzi unakuta mtu ana mahusiano just for Spending, hit and run nk anahisi ana experience sawa na aliye na serious deep relationship
Unakuta ana Ng'ombe yake ya kuichuna Sasa hata ikiota mapembe ikashtuka na kukimbia yeye anaanzaje kulia?

Hivi mtu kama Kajala kwa Konde boy mtu ambaye ni sawa na mtoto wake wa kumzaa utasema kuna mapenzi hapo au kuna biashara tu ya mapenzi?
 
Ukiona huna hisia na mapenzi ujue roho yako ishakufa umebaki mwili tu
 

Mapenzi hayana mwenyewe. Mapenzi hayana umri. Kama hayajawah kukuta shukuru Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…