Pisi ilikuwa ya kwenda sana ni kuichapa nali tu π€£π€£π€£ tukose wote yani.Mnaijua hii PC ilipigwa kiberiti kisa kipochi manyoya. Jamaa anahudumia afu anakitembeza kwa washkaji. Jamaa akaona isiwe tabu piga sindao ya sumu akaona huyu anaweza asife akapiga mafuta ya petroliView attachment 2557139
Dah yalikuwa mauaji ya kikatili sana. Sasa kama alipigwa sindano ya sumu pia mbona ilimchukua muda kifariki? Kwamba madaktari waliligundua Hilo mapema na kideal na vitu viwili kwa wakati mmoja kupunguza makali ya sumu at the same time dealing with deep burning?πMnaijua hii PC ilipigwa kiberiti kisa kipochi manyoya. Jamaa anahudumia afu anakitembeza kwa washkaji. Jamaa akaona isiwe tabu piga sindao ya sumu akaona huyu anaweza asife akapiga mafuta ya petroliView attachment 2557139
Sio poa mzee baba nilikuwa naiangalia mara 2 hapa toto zuri kweli unahudumia halafu kuna mwamba anagonga kisela π€Pisi ilikuwa ya kwenda sana ni kuichapa nali tu π€£π€£π€£ tukose wote yani.
[emoji23][emoji23] nae ana heka heka zake sikatai ila kwa niliyopitia aloo mapenzi hayana umri we mwenyewe unajua.Andunje kashafanya yake nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inakera kisenge. Mi mwenyewe uzalendo ungenishida sema ningemfukuza tu bila kujali. Huwa sitaki stress nikiwa na hela.Sio poa mzee baba nilikuwa naiangalia mara 2 hapa toto zuri kweli unahudumia halafu kuna mwamba anagonga kisela π€
Nyie hizi habar mmetoa wapi?Sio poa mzee baba nilikuwa naiangalia mara 2 hapa toto zuri kweli unahudumia halafu kuna mwamba anagonga kisela [emoji848]
Achabkabisa haya mapenzi nyoko[emoji23][emoji23] nae ana heka heka zake sikatai ila kwa niliyopitia aloo mapenzi hayana umri we mwenyewe unajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
namna ya kujieleza kihisia inatofautianaIkiwa hakuna kikomo cha hisia, kwanini mtu mzima anapoanguka halii kwa sauti kama mtoto endapo tu hajapewa pole? Kwanini mtu mzima akihisi njaa halii?
Binafsi naona kwa mtu mzima kuliala kisa mapenzi; ni kujiendekeza tu! Kwani huyo mtu mtakufa wote???
Huo ndio uamuzi wa busara siku za mwanzoni utaumia sana hasa kam uliinvest sana kwa manzi ila mdogomdogo utaponaInakera kisenge. Mi mwenyewe uzalendo ungenishida sema ningemfukuza tu bila kujali. Huwa sitaki stress nikiwa na hela.
Vifo kama hivyo unafikiri kuna kingine zaidi wa wivu wa kimapenzi
πππππ€Sasa hisia za Mapenzi na umri wapi na wapi?
Maumivu ya mapenzi hubakia pale pale bill kujali umri wa mtu.
Mtoa mada Ni Kama hujawahi umizwa k'o una afadhali Sana na omba yasikukute tu.
Duu angalia niliyemjibu π€Kwani hapo Ni benki?
Au nimedanganya hapo?πππππ€
Umepiga mulemuleAu nimedanganya hapo?
Kwani moyo huwa unazeeka ee
Na hakuna mtu timamu ambae moyo umekufa kihisia sema tu ujampata wakuingia humo moyoni unajua kutokana speed za maisha, ugumu na ubize ni ngumu Sana nowdays kupata penzi lililo deep so ukili pata mkaja breakup utaumia tuUkiona huna hisia na mapenzi ujue roho yako ishakufa umebaki mwili tu
Kwa mara ya kwanza naumizwa na mapenzi kiasi inabadilisha maisha yangu umri ulikuwa miaka 37.
Yule mwanamke hii laana ataishi nayo mpaka anaingia kaburini- she changed my life in a negative way.
π€π€π€π€π€