Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sijafikisha miaka hizo ngoja nifikishe ndo ntakuwa na jibu sahihi kwa upande wangu unasikia mrembo
Kwa unavyoelewa,ila sio lazima ufike hiyo miaka.Mm sijafikisha miaka hizo ngoja nifikishe ndo ntakuwa na jibu sahihi kwa upande wangu unasikia mrembo
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ndio hapo mleta maada anaposhangazwa.Inapaswa iwe hivyo ila huwa haiko hivyo
Hisia ndo zinaendesha akili
Me naweza hii lakini sio kila mtu anaweza hiiNdio hapo mleta maada anaposhangazwa.
Ujue at 35 and above tunatarajia akili iwe very busy n occupied with finding solutions to life's problems..sasa mtu kulilia mapenzi kwakwel hapanaa...
Kuna mpango wangu wa kando mmoja hiv naukubali sana..Una deal na biashara za cafeteria..very advanced...ndoa ishamvurugaga sasa yuko busy sana na maisha kutafuta pesa ndio tukajaga kutana...
Nikimpotezeaga na yeye anatulia kimyaaa hana timee..siku nikamuuliza why uko hiv? Akanambia sikiliza Rabonn haya mambo ya mapenz mi nilishaachana nayo na sijui tu imekuaje umenirudisha huku ila kwasasa. Kipaumbele changu kwasasa ni pesa..kutafuta hela..kwahiyo ukiona huna time na mimi tena wala hata usiwe na shaka nambie waz tuuuu nitaelewa ila ukipotea kimya kimya kama hiv hunitafuti we jua tu na mimi sitakutafuta 😂😂😂😂
Black n white...
Hizi ndio akil za kiutu uzima sasa..sio kukaa kulilia lilia mapenzi.
uko sahihi kabisa..kwanza kuanzia age ya 35 hata hutafuti mapenzi..unatafuta mshirika mnayeendana kwa kiasi kikubwaHuwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi!
Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?
Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani.
Sasa, imagine uko unalia mbele ya watoto wako eti umeachwa, huwezi hata kula, unakaa kinyonge.... Aaah jamaniii!
Ndio vijana tunawa encourage wakue basi tupunguze majanga yanayoletwa na hisia za kitoto hiz za kuuana kisa ujinga ujinga tuuMe naweza hii lakini sio kila mtu anaweza hii
By the age of 30 you must be mature enough to anticipate any inconveniences your love life may bring to youMapenzi hayana mwenyewe. Mapenzi hayana umri. Kama hayajawah kukuta shukuru Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akasome kitabu cha KiuHayachagui umri yakiamua kukutesa ata ukiwa na 50 yanakunyoosha vizuri tu
Mapenzi hayana mwenyewe. Kama hayajawah kukukuta hongera zako.By the age of 30 you must be mature enough to anticipate any inconveniences your love life may bring to you
Una experience yakutosha na mapenzi, zaidi ya miaka kumi still crying over same thing, again and again
Haujifunzi TU?
nizaidi mjombaMapenzi yanaumiza wewe....yaskie tu kwa wenzio ni kama kifo
Shakespeare was a poet ndicho kilichompa umaarufu sio kulilia mapenziShakespear kafa karne gan huko sijui ila mashairi yake ya mapenzi yanaishi na kutengenezewa movie hadi waleo, samson alituangusha wananzengo kwa kumlegezea delilah, cleopatra anakumbukwa kwa uzuri wake hadi leo na aliburuza kweli wakubwa enzi hizo, hellen of troy kama sio fiction ya wagiriki alisababisha vita ya taifa na taifa kisa tu mapenzi e.t.c...
Siku Cherokee D ass akifa wanaume wengi tutalia machozi yale ya kupenga kamasi kabisa acha tu..
Ulichoeleza hapa hakihusiani kabisa na mada au kuumia na mapenzi mzee, kutokuwa na habari na mapenzi tofauto kabisa na kuumia na mapenzi...Kama maanayako ya kutokuumia na mapenzi ni hii Basi kilamtu anauwezo wa kutokuumia na mapenzi 😂😂😂Ndio hapo mleta maada anaposhangazwa.
Ujue at 35 and above tunatarajia akili iwe very busy n occupied with finding solutions to life's problems..sasa mtu kulilia mapenzi kwakwel hapanaa...
Kuna mpango wangu wa kando mmoja hiv naukubali sana..Una deal na biashara za cafeteria..very advanced...ndoa ishamvurugaga sasa yuko busy sana na maisha kutafuta pesa ndio tukajaga kutana...
Nikimpotezeaga na yeye anatulia kimyaaa hana timee..siku nikamuuliza why uko hiv? Akanambia sikiliza Rabonn haya mambo ya mapenz mi nilishaachana nayo na sijui tu imekuaje umenirudisha huku ila kwasasa. Kipaumbele changu kwasasa ni pesa..kutafuta hela..kwahiyo ukiona huna time na mimi tena wala hata usiwe na shaka nambie waz tuuuu nitaelewa ila ukipotea kimya kimya kama hiv hunitafuti we jua tu na mimi sitakutafuta 😂😂😂😂
Black n white...
Hizi ndio akil za kiutu uzima sasa..sio kukaa kulilia lilia mapenzi.
Braza jitahid kuelewa...Ulichoeleza hapa hakihusiani kabisa na mada au kuumia na mapenzi mzee, kutokuwa na habari na mapenzi tofauto kabisa na kuumia na mapenzi...Kama maanayako ya kutokuumia na mapenzi ni hii Basi kilamtu anauwezo wa kutokuumia na mapenzi 😂😂😂
Mkuu kuumia na mapenzi hakuangalii una majukumu kihasi gani, uko bize kihasi unasndesha Kampuni ngapi once situation yakuumiza imeku-Found utaumia tu so munachoandika hapa Ni bla bla tuBraza jitahid kuelewa...
Kuumia na mapenz ni lazima kwa kila mtu ila katika umri fulani unapaswa kuona haya mambo ni ya kawaida kwa kuweka vipaumbele kwenhe mambo mengine nje ya mapenzi.
Mapenzi yataendelea kukutesa kama kipaumbele chako kikubwa ni mapenzi na hii ni tabia ya kitoto.. ndio maana mtoa mada kasema mtu wa umri fulan hupaswi kuwa bado unalia lia na mapemz kwakua katika umri huo husika tunategemea uwe na majukum mengine mengi ..... sijaleta maana yangu hapa yoyote nimetoa mfano factual kabisaaa