Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

The good thing ni kwamba ukishaumia mara moja hutokaa uumie tena utakua unawaumiza wengine tu... ni kama surua ukiipata unakuwa umepata kinga.
Kuna watu wao kila wakati ni kuumizwa tu hadi wanaitwa bibi au babu. 😄
 
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi!

Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?

Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani.

Sasa, imagine uko unalia mbele ya watoto wako eti umeachwa, huwezi hata kula, unakaa kinyonge.... Aaah jamaniii!
Kujiendekeza tu mim mwenyewe sijafika huko na bado siwez kulia wala kusononeka
 
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?

Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani.

Sasa, imagine uko unalia mbele ya watoto wako eti umeachwa, huwezi hata kula, unakaa kinyonge.... Aaah jamaniii!
Hisia hazijalishi umri.
 
Hayana ukomo. Ila kwa age hiyo, kama mapenzi hayakutaki, achana nayo! Fanya vitu vingine vya kukupa furaha
Utafanya hivyo vitu vingine at the end utagundua kuna kitu unakosa na unakihitaji
 
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?

Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani.

Sasa, imagine uko unalia mbele ya watoto wako eti umeachwa, huwezi hata kula, unakaa kinyonge.... Aaah jamaniii!
Umekula?
 
Kwa mwanaume ukishagonga 30 ukilia kisa mapenzi ntakushangaa sanaa labda wanawake mabingwa wa hisia

Mwanaume inabidi uwe na "mission" kwenye haya maisha, sasa mission yako ikiwa mapenzi, hapo hatuna mtu

Hivi Kuna mtu dunia inamkumbuka kisa mapenzi? hakunaaa

Tunawakumbuka kina prophet Muhammad, Jesus Christ, Isaac Newton, Julius Nyerere, JPM, Reginar Mengi, Ruge Mutahaba kwa alama walizoacha
Misheni maishani bila kula mbususu na inipitie mbali huko 🚮🚮🚮. Hivi unaujua utamu wa mbususu tena uibahatishe ile yenyewe kabisa nene imeumuka ka mkate wa bofulo halafu ya moto na mafuta mafuta ya asili? 😳

Halafu mifano yako wala haieleweki. Kwamba akina Ruge Mutahaba na Mengi wameacha alama kwa vile walikuwa hawali mbususu ama? Point yako hasa nini katika mifano kama hii?
 
Misheni maishani bila kula mbususu na inipitie mbali huko [emoji706][emoji706][emoji706]. Hivi unaujua utamu wa mbususu tena uibahatishe ile yenyewe kabisa nene imeumuka ka mkate wa bofulo halafu ya moto na mafuta mafuta ya asili? [emoji15]

Halafu mifano yako wala haieleweki. Kwamba akina Ruge Mutahaba na Mengi wameacha alama kwa vile walikuwa hawali mbususu ama? Point yako hasa nini katika mifano kama hii?
Mkuu unashida gani kwenye ubongo wako[emoji23]

Nimesema usisumbuliwe na mapenzi sio usichakate mbususu, yani kama itabidi ulie lie ndo ugawiwe mbususu huo ni ujinga

Mbususu chakata sana utajua wewe unazitoa wapi ila usiwekeze mawazo yako kwa wanawake kiasi cha kufikia hatua ya kuwa na msongo wa mawazo

Ruge mwenyew alikuwa play boy lakini ndio kilikuwa kichwa cha clouds

JK unaambiwa Kila wilaya aliyokuwa anatembeleaa alikuwa anatengewa bikra(za ndani kabisa[emoji23])

Mengi mwenyew si alikuwa anaviponsa vibinti vidogo vidogo and was one of our DON hapa bongo
 
Ubongo wangu naamini hauna shida yo yote mkuu. Mi nafuatilia mantiki ya hoja yako tu basi...

Unajuaje (bila shaka kabisa) kuwa Ruge Mutahaba alikuwa hasumbuliwi na mapenzi hadi kulia na kuwa na msongo wa mawazo? Mbona ilisemwa na wapenda udaku kuwa alikuwa na hali mbaya alipopigwa chini na Mketema?

Point yangu ni kwamba hawa ma-don na watu wengine mashuhuri nao ni binadamu wa kawaida tu na usifunikwe na mafanikio yao ya pesa na madaraka mpaka kuwaona kuwa ni watu tofauti sana. Hizo pesa na madaraka vinaweza kuwa ni mirage tu lakini wana weaknesses zao nyingi tu ikiwemo kupelekeshwa na mapenzi. Imagine baadhi ya biographers wa Adolf Hitler wanasema kuwa mwamba alishakaribia kujiua mara mbili baada ya demu wake wa kudumu kutaka kumpiga chini? Chezea mapenzi weye! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
 
Ruge mwenyewe licha ya ujanja wake wote ila alimlilia zamaradi
 
Back
Top Bottom