Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Bado hujakua akili ndio maana unaongea kitoto sana licha ya utu uzima uliokua nao kijana..Mkuu kuumia na mapenzi hakuangalii una majukumu kihasi gani, uko bize kihasi unasndesha Kampuni ngapi once situation yakuumiza imeku-Found utaumia tu so munachoandika hapa Ni bla bla tu
Ukikua utaacha...naongea kwa experience ya 12 years in marriage.