Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Mimi haitatokea mtu aje kunizingua kwenye haya mambo

Huwa naumia ila sio kihivyo mpaka kufikia kushindwa kufanya mambo yangu

Mpaka sasa nishakuwa na wanawake zaidi ya 40 lakin hakuna ambae alishawah kunisumbua
 
Inapaswa iwe hivyo ila huwa haiko hivyo
Hisia ndo zinaendesha akili
Ndio hapo mleta maada anaposhangazwa.
Ujue at 35 and above tunatarajia akili iwe very busy n occupied with finding solutions to life's problems..sasa mtu kulilia mapenzi kwakwel hapanaa...

Kuna mpango wangu wa kando mmoja hiv naukubali sana..Una deal na biashara za cafeteria..very advanced...ndoa ishamvurugaga sasa yuko busy sana na maisha kutafuta pesa ndio tukajaga kutana...

Nikimpotezeaga na yeye anatulia kimyaaa hana timee..siku nikamuuliza why uko hiv? Akanambia sikiliza Rabonn haya mambo ya mapenz mi nilishaachana nayo na sijui tu imekuaje umenirudisha huku ila kwasasa. Kipaumbele changu kwasasa ni pesa..kutafuta hela..kwahiyo ukiona huna time na mimi tena wala hata usiwe na shaka nambie waz tuuuu nitaelewa ila ukipotea kimya kimya kama hiv hunitafuti we jua tu na mimi sitakutafuta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Black n white...
Hizi ndio akil za kiutu uzima sasa..sio kukaa kulilia lilia mapenzi.
 
Me naweza hii lakini sio kila mtu anaweza hii
 
uko sahihi kabisa..kwanza kuanzia age ya 35 hata hutafuti mapenzi..unatafuta mshirika mnayeendana kwa kiasi kikubwa
 
Me naweza hii lakini sio kila mtu anaweza hii
Ndio vijana tunawa encourage wakue basi tupunguze majanga yanayoletwa na hisia za kitoto hiz za kuuana kisa ujinga ujinga tuu
 
Mapenzi hayana mwenyewe. Mapenzi hayana umri. Kama hayajawah kukuta shukuru Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
By the age of 30 you must be mature enough to anticipate any inconveniences your love life may bring to you

Una experience yakutosha na mapenzi, zaidi ya miaka kumi still crying over same thing, again and again

Haujifunzi TU?
 
By the age of 30 you must be mature enough to anticipate any inconveniences your love life may bring to you

Una experience yakutosha na mapenzi, zaidi ya miaka kumi still crying over same thing, again and again

Haujifunzi TU?
Mapenzi hayana mwenyewe. Kama hayajawah kukukuta hongera zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shakespeare was a poet ndicho kilichompa umaarufu sio kulilia mapenzi

Samson alikuwa na nguvu lakini hakuwa na akili za kumshinda mwanamke, Kuna vitu ata mwanamke akupe ovary zake hutakiwi kumwambia

Cleopatra was beautiful, alipendwa na wengi ila aliowasumbua ni mazuzu, kama leo hamisa mobetto mfano she's beautiful lakini sio wote wanazuzuka nae

Alexander the great alikuwepo hizo enzi za Cleopatra nenda kasome interaction yao ndo ujue wanaume wenye mission kwenye haya maisha wanaendeshaje maisha yao

Buy 30+ ACHA UTOTO FOCUS NA MAMBO YA MAANA
 
Ulichoeleza hapa hakihusiani kabisa na mada au kuumia na mapenzi mzee, kutokuwa na habari na mapenzi tofauto kabisa na kuumia na mapenzi...Kama maanayako ya kutokuumia na mapenzi ni hii Basi kilamtu anauwezo wa kutokuumia na mapenzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Braza jitahid kuelewa...
Kuumia na mapenz ni lazima kwa kila mtu ila katika umri fulani unapaswa kuona haya mambo ni ya kawaida kwa kuweka vipaumbele kwenhe mambo mengine nje ya mapenzi.
Mapenzi yataendelea kukutesa kama kipaumbele chako kikubwa ni mapenzi na hii ni tabia ya kitoto.. ndio maana mtoa mada kasema mtu wa umri fulan hupaswi kuwa bado unalia lia na mapemz kwakua katika umri huo husika tunategemea uwe na majukum mengine mengi ..... sijaleta maana yangu hapa yoyote nimetoa mfano factual kabisaaa
 
Mkuu kuumia na mapenzi hakuangalii una majukumu kihasi gani, uko bize kihasi unasndesha Kampuni ngapi once situation yakuumiza imeku-Found utaumia tu so munachoandika hapa Ni bla bla tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…