Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

The good thing ni kwamba ukishaumia mara moja hutokaa uumie tena utakua unawaumiza wengine tu... ni kama surua ukiipata unakuwa umepata kinga.
Kuna watu wao kila wakati ni kuumizwa tu hadi wanaitwa bibi au babu. ๐Ÿ˜„
 
Kujiendekeza tu mim mwenyewe sijafika huko na bado siwez kulia wala kusononeka
 
Hisia hazijalishi umri.
 
Hayana ukomo. Ila kwa age hiyo, kama mapenzi hayakutaki, achana nayo! Fanya vitu vingine vya kukupa furaha
Utafanya hivyo vitu vingine at the end utagundua kuna kitu unakosa na unakihitaji
 
Umekula?
 
Unashangaa 35, watu wana miaka 50 nq wanaumizwa na mapenzi....kuna viungo kwenye mwili havizeeki, ukiwemo moyo
50 nini bana? 77 kabisa lakini majuzi hapa nikapigwa chini mweh! Presha juu. Sukari juu. Heart angina. Kizunguzungu. Hayanaga mwongozo wala rubani! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Misheni maishani bila kula mbususu na inipitie mbali huko ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ. Hivi unaujua utamu wa mbususu tena uibahatishe ile yenyewe kabisa nene imeumuka ka mkate wa bofulo halafu ya moto na mafuta mafuta ya asili? ๐Ÿ˜ณ

Halafu mifano yako wala haieleweki. Kwamba akina Ruge Mutahaba na Mengi wameacha alama kwa vile walikuwa hawali mbususu ama? Point yako hasa nini katika mifano kama hii?
 
Mkuu unashida gani kwenye ubongo wako[emoji23]

Nimesema usisumbuliwe na mapenzi sio usichakate mbususu, yani kama itabidi ulie lie ndo ugawiwe mbususu huo ni ujinga

Mbususu chakata sana utajua wewe unazitoa wapi ila usiwekeze mawazo yako kwa wanawake kiasi cha kufikia hatua ya kuwa na msongo wa mawazo

Ruge mwenyew alikuwa play boy lakini ndio kilikuwa kichwa cha clouds

JK unaambiwa Kila wilaya aliyokuwa anatembeleaa alikuwa anatengewa bikra(za ndani kabisa[emoji23])

Mengi mwenyew si alikuwa anaviponsa vibinti vidogo vidogo and was one of our DON hapa bongo
 
50 nini bana? 77 kabisa lakini majuzi hapa nikapigwa chini mweh! Presha juu. Sukari juu. Heart angina. Kizunguzungu. Hayanaga mwongozo wala rubani! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Oooza zee la kisukuma ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Watoto wa udsm watakuumiza mkuuu ๐Ÿ˜‚
 

Ubongo wangu naamini hauna shida yo yote mkuu. Mi nafuatilia mantiki ya hoja yako tu basi...

Unajuaje (bila shaka kabisa) kuwa Ruge Mutahaba alikuwa hasumbuliwi na mapenzi hadi kulia na kuwa na msongo wa mawazo? Mbona ilisemwa na wapenda udaku kuwa alikuwa na hali mbaya alipopigwa chini na Mketema?

Point yangu ni kwamba hawa ma-don na watu wengine mashuhuri nao ni binadamu wa kawaida tu na usifunikwe na mafanikio yao ya pesa na madaraka mpaka kuwaona kuwa ni watu tofauti sana. Hizo pesa na madaraka vinaweza kuwa ni mirage tu lakini wana weaknesses zao nyingi tu ikiwemo kupelekeshwa na mapenzi. Imagine baadhi ya biographers wa Adolf Hitler wanasema kuwa mwamba alishakaribia kujiua mara mbili baada ya demu wake wa kudumu kutaka kumpiga chini? Chezea mapenzi weye! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
 
Ruge mwenyewe licha ya ujanja wake wote ila alimlilia zamaradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ