Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Mashoger huwa wanaishia kupiga kelele kwenye key board tu
Nakuonya tena, acha kupenda mambo ya ushoga, jua aliwazalo mtu ndilo humtokea, wew kila saa unawaza kuwa shoga aisee sijui unakwama wapi. Narudia tena, mwili ni wako wew ufanyie ujinga utajuta mwenyewe
 
Huna unachokijua wewe.
 

Labda uko sahihi...

Hata hivyo ni sheria gani inataka anayetaka kufanya mkutano wa kisiΓ sa "apewe kibali...?"

Huyu mama hajui hata sheria zinazoongoza masuala mbalimbali ya nchi yake...

Unakwenda kuongea na umma lakini hujui taratibu za kisheria zinazoongoza unachokwenda kukizungumza, kwanini usipotoshe watu na umma kwa jumla...!

Sheria ya vyama vya siasa katika eneo la mikutano ya kisiasa ya vyama, haisemi chama kiombe kibali bali kitoe taarifa kwa mkuu wa polisi [OCD] wa eneo unakofanyikia huo mkutano ingalau masaa 48 kabla...

Na huyo OCD hatoi kibali bali atawajibika kupeleka polisi ili kutoa ulinzi kwenye mkutano huo au kama hana askari wa kutosha sheria inamtaka afanye mawili kati ya haya..;

1. Kuomba askari toka kwa kiongozi wa polisi wa eneo la kipolisi la jirani yake, AU

2. Wajadiliane na kukubaliana na chama husika ili wafanye mkutano wao siku au wakati mwingine kukiwa na ulinzi...

Wewe hii yako na huyo Rais wako ni sheria ya wapi...?

Let's be honest. Rais Samia Suluhu ana mapungufu makubwa kwenye ufahamu wa kiuongozi ktk nchi. Afadhali ya Magufuli. Huyu mama kazidi. Nadhani uongozi wa nchi kwake ni mzigo asiouweza...!
 
Mkuu mimi si shabiki wa huyu mama lakini ukweli lazima usemwe.
Umemlisha maneno.
Hakuna mahali amesema yeye kama raisi anatoa vibali vya mikutano.

Mkosoe kwa makosa yake si mambo ya kuzusha.
Mtoa hoja ni bingwa wa UZUSHI....

Anapenda kuhanikiza SIASA za maandamano na taharuki juu ya nchi......bahati mbaya kwake SIASA HIZO ZIMESHINDWA.....ZIMESHINDIKANA HAPA NCHINI.....WAMEFELI KWA HAYO........
 
Wait...there is more...
There are things your ears haven't heard yet in this regime.
 
Uwezo wa ke nikuongoza Mwl wake tu
 
Wewe
Huyu anafanya uungwana hata kuongea nao na akawasikiliza. Hayati JPM huo muda aliutoa siku moja tu pale Mwanza baada ya kumaliza hotuba yake.

Huyu hana mkono wa chuma, dialogue ndio inayopewa kipaumbele, maridhiano ndio yanayopewa kipaumbele.
 
Mkuu mimi si shabiki wa huyu mama lakini ukweli lazima usemwe.
Umemlisha maneno.
Hakuna mahali amesema yeye kama raisi anatoa vibali vya mikutano.

Mkosoe kwa makosa yake si mambo ya kuzusha.
Anajenga mazingira ya wachangiaji kujiona wapo huru kumshambulia. Ni mbinu za kiuandishi za kumtafutia ubaya Mama wa watu mbele ya jamii pana ya wasomaji na wachangiaji.
 
Ukumbuke rais kaongelea ufanyikaji wa vurugu hapo. Kama unahatarisha amani ya nchi utazuiwa tu
 
I beg to differ, Magufuli alivyofungua bunge alitoa mustakabali wa uongozi wake kuwa ni kunyoosha nchi na kutumbua majibu.

Kikwete alitoa mustakabali wake maisha bora kwa kila mtanzania.

Mkapa ukweli na uwazi na kuondoa umaskini.

Mwinyi alitoa ruksa ya watu binafsi kuingia ktk biashara.

Nyerere, alipambana na maradhi, magonjwa na umasikini. Tena msisitizo akauweka ktk kuondoa umasikini.

Tukiangalia kipaumbele cha SSH bado hatujaelewa ni nini? Je ni demokrasia kama wengi wanavyosema? Hasha, kauli ya ya leo inapingana.

Je anataka freedom of speech? Vitendo dhidi ya Polepole vinatia mashaka.

Hivyo lay man kaka mimi.naweza sema bado sijajua uelekeo hasa. Labda tuendelee kusubiri.
 
Maza ni dikteta

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe

Huyu anafanya uungwana hata kuongea nao na akawasikiliza. Hayati JPM huo muda aliutoa siku moja tu pale Mwanza baada ya kumaliza hotuba yake.

Huyu hana mkono wa chuma, dialogue ndio inayopewa kipaumbele, maridhiano ndio yanayopewa kipaumbele.
Hawana dogo hao Wala shukrani Kila kitu kwao ni kupinga na kuleta vurumai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…