Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Msome between the lines.Inasikitisha kuona haya ndio mawazo ya wazee tunaowategemea nchi hii.
Huwezi kushindana na MunguWanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
KamalizaHuyu maza pamoja hakuchaguliwa 2025 twende na mawaidha ya shekhe mkuu wa dsm alhaji walid
Huyo Kamala hajashindwa sababu ni mwanamke, kashindwa sababu ya sera zake kama za utoaji mimba n.kWanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Sera ndo zilete ushawishi sio jinsia.Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Mimi nimeelewa una maanisha niniWanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Nilisoma kwa harakaharaka nikapandwa na jazba lakini nimekuelewaWanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Kwani mkuu sisi tunaenda kuchagua jinsia? Kwani kuchagua mwanaume ni kukosa akili?Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Hujamuelewa tuliza akili soma vizuri kwa utulivu πππNjaa mbaya
Paskali, are you you?Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!
Duh...!.
Paskali
Tuliza akili mzee soma between lines, jamaa anetumia lugha nzuri sana kwa haraka unaweza kuchukua maneno machache ukakosa maana ππKwani mkuu sisi tunaenda kuchagua jinsia? Kwani kuchagua mwanaume ni kukosa akili?
Paschal kama hii ndio akili Yako ilipofikia basi anza safari ya kwenda Dodoma kwenye hospital pendwa
Soma vizuri utaelewaPaskali, are you you?
We dont need a woman anymore not at the moment. Thats it. Maana hata akija bado wanaume tutamsaidia they cant make decisions while we need a decision maker not a leader full of aides wanaomshauri ujinga tu and women are prone to lies hii inaeleweka ever since.Nilishauri Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!, hivyo sio lazima awe huyo unayemdhania wewe, anaweza kuwa mwanamke mwingine yoyote ali mradi ni mwanamke!, na hapa nikashauri Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende? na hapa nikashauri tena Pongezi Spika Dr. Tulia, Umeonyesha Uwezo, na Unaweza!, Jee tumshauri Dada Mkubwa, ikimpendeza, ampishe tuu Dada Mdogo Kwenye Lile Jambo Letu Lile?
P
Sera zipi za Trump. Jinsia ndiyo kigezo cha Kamala kushindwa.SADWamarekani wamepima Sera kati ya wagombea wawili,wameona huyo Trump ni sahihi kwao..
Wamarekani wameona wachague kiongozi badala ya jinsia