Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Huwezi kushindana na Mungu
Jua hivyo tu
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.
Huyo Kamala hajashindwa sababu ni mwanamke, kashindwa sababu ya sera zake kama za utoaji mimba n.k
Kama wanaume wawili wakishindana mmoja anashindwa bila kutaja jinsia basi mwanamke na mwanaume wakishindana jinsia isiingizwe.
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Sera ndo zilete ushawishi sio jinsia.

NB: Wanawake kama wanataka haki sawa wakubali kutotumia viungo vyao kama sehemu ya kuwahurumia. Mambo ya women are encouraged to apply yasifuatwe bali vigezo.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Mimi nimeelewa una maanisha nini
 
Nilisoma kwa harakaharaka nikapandwa na jazba lakini nimekuelewa

The level of sarcasm is huge you have made a satirical language well blended in the whole literature.

Vijana watakushambulia sababu hawajui literature and linguistic works hidden in a semantically well crafted piece of work

Vijana msitukane huyu jamaa ameandika kitu kikubwa sana tafuteni maana tatizo mshazoea akina diamond anaimba plain language words hajui usanii ni kazi ya sanaa.

Pascal nimekuelewa 😂😂😂😂
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Kwani mkuu sisi tunaenda kuchagua jinsia? Kwani kuchagua mwanaume ni kukosa akili?

Paschal kama hii ndio akili Yako ilipofikia basi anza safari ya kwenda Dodoma kwenye hospital pendwa
 
Paskali, are you you?
 
Kwani mkuu sisi tunaenda kuchagua jinsia? Kwani kuchagua mwanaume ni kukosa akili?

Paschal kama hii ndio akili Yako ilipofikia basi anza safari ya kwenda Dodoma kwenye hospital pendwa
Tuliza akili mzee soma between lines, jamaa anetumia lugha nzuri sana kwa haraka unaweza kuchukua maneno machache ukakosa maana 😂😂
 
We dont need a woman anymore not at the moment. Thats it. Maana hata akija bado wanaume tutamsaidia they cant make decisions while we need a decision maker not a leader full of aides wanaomshauri ujinga tu and women are prone to lies hii inaeleweka ever since.
 
Back
Top Bottom