Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Bila kupepesa macho, Mwanamke yeyote yule duniani hafai kuongoza nchi hasa sekta nyeti.

Mambo ya gender, sijui haki sawa, sijui uchaguzi haujali jinsia ni propaganda uchwara.

Mwanamke hafai kuongoza nchi hasa sekta nyeti.
Chunga usitekwe.
Dokezo sabili kwa-@choicevariable and Lucas Mwashambwa and the co-psychopaths all over CCM for further and inner news.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Siku hizi unatangaza channel gani. Mara ya mwisho nilikusikia ukitangaza pale East Africa Radio ukijitolea angalau mkono wako uende mdomoni tena ulikuwa mkali wa kukosoa watangazaji wanaokosea kutamka majina ya wachezaji wa ulaya.
Ulipofukuzwa pale E.A Radio nikajua ulikufa kwa njaa maana wadau wa huku JF wanasema huna chanzo kingine cha mapato.

Usimaindi, ni matani tu.
 
Ukisikiliza kwenye vyombo vya habari mbalimbali na Jf wamarekani wamechagua rais wao lakini wanatesekaji wengi ni waafrika.
 
Jinsia ya mtu haina kazi yoyote kwenye uongozi wa nchi. Kazi ya jinsia ya mtu Ina kazi ya binafsi zaidi.umma hauna kazi na jinsia ya mtu
Waliotangulia kuwepo kwenye hii dunia si wajinga kukataa mwanamke kuongoza sekta nyeti.

Historia yenyewe inajieleza vizuri. Nchi zilizo ongozwa na wanawake mambo yalivyo haribika na yanavyo haribika.

Kansela Angel Merkel aliruhusu wahamiaji na asylum seekers kujazana Ujerumani matokeo yake wakaanza kusumbua.

Tz yenyewe unaona mambo yanavyo kwenda Vululu-valala.

Nakwambia hivi, Mwanamke yeyote yule duniani hafai kuongoza nchi hasa sekta nyeti.
 
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Tukishawaonyesha tutapata faida gani au wao watapata faida gani?
Paskali ukivaa suti rangi x kwaajili ya kumuonyesha Bwn Y nyote wawili mnapata faida gani?
 
Kaka paschal naona umeanza kufilisika MTU HACHAGULIWI KWA SABABU YA JINSIA YAKE ANACHAGULIWA KWA KUJENGA HOJA /UWEZO WAKE WA KIUTENDAJI.

wajinga pekee ndio hupiga kura za kumchagua eti kwa sababu ya uanamke wa madame Samia.

Akishinda Samia iwe SABABU YA UWEZO KIUTENDAJI na sio uanamke wake.

Wasalaam

Kwa Sasa kijijini MPUMBWI.
Wasiibe kura tuu!
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Nimekuelewa Vizuri!😂😂😂
Tutalifanyia kazi...
 
Ukisikiliza kwenye vyombo vya habari mbalimbali na Jf wamarekani wamechagua rais wao lakini wanatesekaji wengi ni waafrika.
Raisi wa Marekani ndio anaamua kula yako, usalama wako, miundombinu ya nchi yako, uchumi wa nchi yako n.k

No matter where you are, Raisi wa Marekani anagusa uchumi wako.

Juzi kati tu hapo, USA Dollars💰ilivyo adimika Tanzania, Mkaanza kulia lia...

BOT inalia lia watu wasifiche Dollar.

Bobu USA ndio kiranja wa hii dunia.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Akili za kuwaita wamarekani wajinga tumezitoa wapi? Umasikini uliotujaa licha ya rasilimali kibao tulizonazo tunawezaje kujiita wenye akili? Sisi wajinga wa kutupwa huenda tukamchagua mwanamke.
 
Siku hizi unatangaza channel gani. Mara ya mwisho nilikusikia ukitangaza pale East Africa Radio ukijitolea angalau mkono wako uende mdomoni tena ulikuwa mkali wa kukosoa watangazaji wanaokosea kutamka majina ya wachezaji wa ulaya.
Ulipofukuzwa pale E.A Radio nikajua ulikufa kwa njaa maana wadau wa huku JF wanasema huna chanzo kingine cha mapato.

Usimaindi, ni matani tu.
Njaa kiswahili mayala kisukuma .....
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Huna akili ,
Bladiful we !
 
Paschal sijawai kukupinga ,kwa hili nakupinga kwa nguvu zotee ,HATA VITABU VYA DINI HAVIRUHUSU HICHI UNACHWASHAURI WATUU ,MIMI SIJAWI KUPIGA KURA ,MWAKA 2025 NITAPIGA KURA NA SITOMCHAGUA MWANAMKE HATA KAMA MWANAUME PEKEE AKAWA HASHIMU RUNGWE NITAMCHAGUA KABISA BILA HAYA SEMA NAJUA MFUMO SIO RAFIKI

Naa laiti CCM yangu wataruhusu uchaguzi huru na hakii nakuapia CCM yangu inaanguka mapemaaa asubihiii
 
Back
Top Bottom