Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Sikutegemea mtu kama wewe ungeongea haya. Issue si kuchagua me au ke, issue mi uwezo wa mtu. Tofauti kubwa ya wao na sisi ni wao wanaangalia uwezo sisi tunalazimisha mtu fulani lazima akae sehem flani
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Hatutaki jinsia,tunahitaji AKILI NA MAONO YENYE TIJA.
Mkataba wa DP WORLD na mingine mingi hakuna mtu mwenye AKILI TIMAMU ANAWEZA KUIKUBALI.
 
Kamala Haris kazungukwa na Yankees akina Douglas Craig Emhoff. hawa ni wajanja wa New York na wazee wa fursa, kila mtu anawajua, wamekutana na wazee na born town wa New York, imebidi wawe wapole tu
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Mbona ni kitu kinaeleweka tu. Labda kama ni mwanamke kidume wanaume wamemwani. Pamoja na kamilla kutinga kila mahali amevaa suruali na koti mbele ya umma amebakia ni mwanamke tu. Akili ya kuweka mbele kujiremba na muonekano wake bado itamfanya mwanamke uongozi wa nchi kua jambo hawezi.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Wenzio wanajua matatizo ya wanawake njinsi walivyowabovu kwenye kufanya maamuzi!!
 
Waliotangulia kuwepo kwenye hii dunia si wajinga kukataa mwanamke kuongoza sekta nyeti.

Historia yenyewe inajieleza vizuri. Nchi zilizo ongozwa na wanawake mambo yalivyo haribika na yanavyo haribika.

Kansela Angel Merkel aliruhusu wahamiaji na asylum seekers kujazana Ujerumani matokeo yake wakaanza kusumbua.

Tz yenyewe unaona mambo yanavyo kwenda Vululu-valala.

Nakwambia hivi, Mwanamke yeyote yule duniani hafai kuongoza nchi hasa sekta nyeti.
Magreth Thatcher wa Uingereza aliacha madhara gani ?
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Kwahiyo tuchague kilichomo ndani ya nguo na si kwenye ubongo! Tutaonekana vichaa.
Umepewa udokita nawe jiongeze nenda chuo kasome upate udokita wa halali uwaoneshe si wa kupenda vya bure.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Umeandika kijanja sana, Nimekuelewa
 
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke
Kwa hiyo watu wakifanya tofauti na unavyotaka wewe wanakuwa 'majinga ajabu'?!!!

So, wewe una hekima kuliko watu wengine, kuliko mamilioni ya wapiga kura wa Marekani?

Akili za ki ccm hizi ni hatari sana.
Ndiyo sababu kikundi kidogo cha watu wanadhani wana haki ya kuamua na kuburuza umma watakavyo
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Ndugu Paskali wewe ni fundi wa lugha na maneno kwa ujumla. Wachache sana wataelewa andiko hili. Ila kuna mtu. “ umemkoga”
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Mkuu Hilo ndio sharti walilokupa wajumbe ukitaka kuwania ubunge?
 
Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda, maana ni mama zetu, ni dada zetu na wake zetu pia, lakini tunatofautiana nao katika majukumu.

Lakini ni ukweli kuwa familia isiyo na baba, inayoongozwa na mwanamke, huwa imepungukiwa. Baba ndiye kichwa cha familia, jamii zetu ndivyo zinavyotamka, na hata vitabu vitakatifu vya dini zote, vinavyotamka.

Familia inaweza kuongozwa na mama katika dharula tu, kama vile kifo cha Baba wa familia au maradhi yanayomfanya Baba asimudu majukumu yake, hata hivyo yule mama hatakuwa Baba wa familia, atabakia kuwa Mama, ambaye ni msaidizi wa Baba. Nyumba inayoongozwa na mwanamke, Wakati Baba yupo, yule Baba huitwa bwege. Je, wanaume wote wa Tanzania ni mabwege?

Akina mama, tangu asilia, tangu enzi na Eva/Hawa, ni wepesi wa kubadilika, ni rahisi kuyumbishwa. Urais ni wadhifa mkubwa unaohitaji mtu asiyeyumba.

Nyote ni mashahidi:
Wa kwetu aliapa akiwa ameshikilia msahafu kuwa atalinda katiba, muda kidogo akageuka na kusema katiba ni kijitabu tu!! Maana yake anaongoza nchi bila mwongozo mkuu ambao ni katiba.

Akasema anasimamia 4Rs, muda kidogo wakosoaji wake, wakaanza kutekwa, huku yeye akisema eti ni drama. Waliotekwa walipothibitika kuwa wameuawa, ghafla akasema anatuma salamu za rambirambi na akasema ameagiza uchunguzi ufanyike haraka, apelekewe taarifa za matokeo ya uchunguzi, mara ikawa kimya mpaka leo. Baadaye akageuka tena na kusema huko kutekwa, kupotezwa na kuuawa kwa viongozi wa vyama vya upinzani na wakosoaji, eti ni mambo ya kawaida, akidai kuwa kifo ni kifo tu, akimaanisha kuwa hakuna haja ya uchunguzi.

3) Alisema kuwa anaanzisha mchakato wa kukamilisha mchakato wa katiba, ghafla akabadilika, na kudai kuwa watanzania inatakiwa kwanza kupata mafunzo ya katiba kwa miaka 3!! Hivi ninyi mnaelewa hayo mafunzo yalianza lini, yanafanywa na nani, na wapi?

Huyu wa kwetu ana tabia zote za mwanamke dhaifu, anayebadilika kila dakika. Hata akitamka kitu huwezi kumwamini.

Namkumbuka Pascal na ile mada yake, kuwa mwaka 2025, tunaenda na mwanaume, tena lazima atoke Tanganyika, asiwe wa kutapanya rasilimali zetu kwa wageni hawa wa kiarabu, ambao mpaka sasa wamepewa karibia njia zote kuu za kiuchumi.

Nadhani baada ya miaka kadhaa, Dunia itakuja kujifunza Tanganyika juu ya madhara ya kuongozwa na mwanamke.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?.

Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?

Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea!, maana...!

Duh...!.

Paskali
Waliosoma philosophy wamekuelewa vizuri sana. Tatizo huku kwetu hakuna uchaguzi, kuna kutangazwa matokeo
 
Back
Top Bottom