Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu

Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya?

Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised

Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
 
Simply wanawake wengi baada ya muda huanza kuish kw mazoe. Ukute mambo mengi ambayo Alikua akiyafanya siku Za nyuma hayafanyi Tena kama ameshapata hata watoto wawil watatu ndo kabisa. Jambo lingine kiburi kinazid kiasi mtu kupata mechi kwa tabu. Tatu hulka ya mtu
 
Changamoto hii ni kubwa sana, Ndoa tena imekua kama vile tu maegesho ila watu hawako katika kumaanisha kabisa kwamba wapo tayari kubaki na mke mmoja au Mme mmoja.
Kuhusu maada hii ni kwamba, Sababu kubwa ni watu kutokuwa na heshima na hofu na Mungu.
 
Heshima inajengwa haitolewi bure. Usipotengeneza mazingira ya kuheshimiwa utajikuta tu upo upande wa pili.
 
Back
Top Bottom