Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Watu wengi huwa wanaingia kwenye ndoa na mtu ambaye ni second option lakini kiuhalisia hampendi.

Mwanaume baada ya kumkosa mwanamke ampendae anaona atulie tu mwanamke ambae atakua mama bora kwa watoto wake.

Mwanamke baada ya kumkosa mwanaume ampendae anaona atulie tu kwa mwanaume ambae atampa security,

Sasa hapo akitokea mtu wa kati akaziteka hisia za mmoja wapo ndipo balaa linapoanzia
 
Kwakifupi tu muda huu nipo hospital kufanya xray(wife) baada ya kuvumilia miaka mingi ya kunikosea adabu. Juzi nimemtandika haswaaaaaaaaaa.

Wanawake ukiwa mwanaume mpole hasa sisi wakristo, huwa wanatusumbua sana.
 
Upendo unagawanyika ndio maan mke yupo ajamuacha na mchepuko yupo, yaan huwez mwaga sukari kwa asali ya kulamba x1 kwa wiki/mwez
 
Back
Top Bottom