Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Swali lako ni sawa na kuuliza iwapo walaji kindakindani wa chipsi kuku wanakipenda chakula hicho kuliko wali maharagwe.

NB: Kataa michepuko, okoa maadili na ndoa.

Kabisa sababu ktk kuchepuka kuna madhara yafuatayo:
1. Hela nyingi za Mwanaume kupotea bure bila kuwa na any return in future .
2. Kurogwa kwa mwanaume mhusika. Michepuko wengi ni wachawi na washirikina wakubwa sana.
Takribani 98% ya michepuko yote wanaroga sana Wanaume na wake zap wa ndoa kupitia Wanaume zao wanaochepuka nao.
3. Uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa yasiyotibika.
4. Penzi kuelemea nje na kumnyima mkeo haki au kuwa karibu nae na watoto.
5. Ni dhambi kwa Wenye kuamini kuwepo kwa Maisha baada ya Haya ya sasa.
6. Unajisi na lasnatulah ?!
7. Ni ubatili mtupu na sawa nakujilisha upepo.
8. N.k
 
Ndoa haiongezi mapenzi au upendo, ni mpango tu wa makubaliano wa kuwa na mtu mmoja exclusively, ndio maana kuna kuachana, kutalikiana na mitala.
 
Kwakifupi tu muda huu nipo hospital kufanya xray(wife) baada ya kuvumilia miaka mingi ya kunikosea adabu. Juzi nimemtandika haswaaaaaaaaaa.

Wanawake ukiwa mwanaume mpole hasa sisi wakristo, huwa wanatusumbua sana.


Hongera ,
Hapo umeanza kutibu ugonjwa wa ukosefu wa adabu alokuwa akikufanyia.
Bada ya happ tarajia improvement kubwa kama ni mtu wa kusikia.
Na usilegeze kamba.
Kaza 💪
Mnawaendekezaga sana hao na a ndio maana huwa wanawapanda vichwani.
 
Miguu ya kunyonga unayo? Au kazi kuvalia slingback,ankle strap,open toe and thigh high tu.
20241119_163909.jpg
 
Hongera ,
Hapo umeanza kutibu ugonjwa wa ukosefu wa adabu alokuwa akikufanyia.
Bada ya happ tarajia improvement kubwa kama ni mtu wa kusikia.
Na usilegeze kamba.
Kaza 💪
Mnawaendekezaga sana hao na a ndio maana huwa wanawapanda vichwani.
Mkuu, ndio nataka nione kama ata improve maana kwasasa namuuguza, ila nilimuadhibu sana kama mwanaume mwenzangu.
Aki recover nitajua japo nimeshamkatia tamaa kwasasa
 
Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu

Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya?

Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised

Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
Kwenye kuchepuka hakuna commitments, hakuna expectations wala disappointments..
Ni kufurahishana na stori inaishia hapo
 
Nimesoma comments hapaa...kosa kubwaa ni kunyimwaa mbususu...kwani huwaa mnataka mara ngapi Kwa wiki?
Soma tena sio kunyimwa tu, na uchafu, kujisashau haswa akipata watoto... alafu manzi ukiuliza mnataka mara ngap kwa wiki apo tu ushafeli kwann kuwe na idadi? Mbona mwanzo mnatoa hadi nyongeza? Na sio kila sku niombe mimi tuu kwamba ww hupatagi nyege au unazimalzia wapi.
 
Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu

Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya?

Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised

Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?

Mtu anapenda mtu for a reason and not a tittle, “neno mke or Mchepuko” doesn’t matter, What matters is personality
 
Back
Top Bottom