Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Umeoa?nadhani mke kubania unyumba ni sababu kubwa
Wanawake wa ndoa hawako serious kwnz hawajui hata password ya uhusiano wao! shauri yao acha waangamie tu wagumu Sana hata kuelewanadhani mke kubania unyumba ni sababu kubwa
si kweli nyie wachoyoUmeoa?
Wewe tulia wenye ndoa waje watoe ushuhuda.
🤣🤣🤣Wanawake wa ndoa hawako serious kwnz hawajui hata password ya uhusiano wao! shauri yao acha waangamie tu wagumu Sana hata kuelewa
Ngoja niolewe nitaleta mrejesho 😹si kweli nyie wachoyo
Sananadhani mke kubania unyumba ni sababu kubwa
Mi sicheki na loboti litaumiza wangu moyoooChangamoto ni migogoro ndani ya ndoa hali inayopelekea kukosa hamu ya tendo la ndoa,kunyimwa tendo la ndoa na dharau
Kwhy kama mwanaume unajiongeza
Heshima inajengwa haitolewi bure. Usipotengeneza mazingira ya kuheshimiwa utajikuta tu upo upande wa pili.Changamoto hii ni kubwa sana, Ndoa tena imekua kama vile tu maegesho ila watu hawako katika kumaanisha kabisa kwamba wapo tayari kubaki na mke mmoja au Mme mmoja.
Kuhusu maada hii ni kwamba, Sababu kubwa ni watu kutokuwa na heshima na hofu na Mungu.
Kunyimwa mbunye na mgao wa mbusuy ndio mtihani ambao wanaume rijali wengi wameshindwa kuuvumilia ndani ya ndoa.Dharau,vituko hali inayopelekea kunyimwa mbususu
Kwahiyo kama mwanaume unayejielewa hamna haja ya kelele,unaanza kucheza michuano ya kimataifa