Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

Aibu tupu. Waafrika hatujitambuai.
 
Just imagine... Unanunua tiketi kwa ajili ya watu ambao wangeweza kujinunulia tiketi... What a wastage of resourses any way yani Muumba aje tu atutwae wote[emoji34][emoji34][emoji34]
Kumanisha nini?
 
jibu=nyerere
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
 
Kwa kujenga Ikulu na Airport kijijini?
Eti anatoa mfano wa li mtu ambalo hata lenyewe linajijua na kujiita kichaa.
Yule ndo alikuwa anaenda ku collapsisha nchi sema Mungu akamuwahi.
 
Uafrika ni LAANA
 
Huku umwinyi mwingi mno tunataka vya kuletewa
 
Ukweli mchungu kbs huu
Wenye maskio na wasikie[emoji106][emoji4]
 
Huyo Magufuli nae ni mwehu mwingine wala sio wa kumention humu.Bora hata ungemtaja JK NYERERE ila huyo mwehu anatawala badala ya kuongoza ni kielelezo cha mfalme juha ambae alishawahi pita hapa nchini.
Si ndio nachosema? Mnapenda maendeleo ila hamjui namna au watu wa kuwapa maendeleo. Ushawahi kufanya kazi kwenye nchi zilizoendelea ukaona au kujifunza namna wanavyoishi na kufanya kazi?
 
Denmark umeenda mbali sana. Cheki sababu za Singapore kuendelea ndio utajua kwa nini tunahitaji mtu bold na sio kubembelezana.
Your browser is not able to display this video.
 


Akili na maarifa yetu ni madogo kulinganisha na wao,--- ni hilo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…