Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

Yote hayo yamekuja baada ya watawala na watawaliwa kuuana sana,ndipo heshima ikaja.
Mwananchi ukiizingua Serikali unashughulikiwa haswa bila kujali we ni nani na Serikali ikiwazingua wananchi unashughulikiwa haswa so wanaheshimiana.
Huku sheria ni kwa ajili ya watu masikini tajiri kukaa jela ni mapenzii yake.
Ufisadi ndio ushujaa,kule unapotea.
 
Hajawahi kuwabna mwelekeo wowote wa kuipeleka nchi huko unakokusema. Yule alikua ni mpiga kelele tu.
Keleke zilikua nyingi kuliko vitendo. Ukute angekuwa hai hata ile Ikulu isingekamilika, maana alishahamia CHATO.
Na Chato alikua ana hama aahamie kwenye pori lake lenye ranchi aliyozindua
 
Akitokea kiongozi akataka kubadili hizo mentatility anapingwa na kuitwa majina ya ajabu ajabu. Nchi zote zenye maendeleo zimejengwa kwa jasho na damu.
Mkuu, usije ukawakumbushia "Wazulu" machungu ya ubaguzi wa rangi. Ndivyo Makaburu walivyokuwa wakijitapa wakati weusi walipokuwa wakiidai nchi yao, walidai Cape Town na Johannesburg imejengwa kwa jasho na damu ya Weupe.
 
Nakubaliana na wewe mkuu.
Siamini kuwa binadamu wote ni sawa.
Sio kweli kuwa watu weusi na wazungu tuko sawa.
Naamini kabisa kuwa sisi weusi tuna ubongo dhaifu kulinganisha na ule wa wazungu
Ubinafsi = Selfishness ndio tatizo kuu katika Africa wala sio Ubongo dhaifu !!

Ubongo unakuwa trained !!

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo !! Kama Taifa tulianza kupotea njia kuanzia mwaka 1985.

Selfishness ilizaliwa tukaitupa misingi yetu tulioanza kuijenga tangu tulipopata Uhuru !!

Msingi wetu Mkuu tuliokuwa tunaujenga wakati ule ni UZALENDO kwanza !! Kwasababu ukiwa Mzalendo wa kweli huwezi kuwa Mbinafsi !!
 
Ilikuaje wakawa developed na sisi undeveloped?
Ubongo huwa unakua trained ili ukidhi mahitaji !! Sisi bongo zetu zimekuwa trained ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi tuwe UNDEVELOPED !!
 
Nashikilia msimamo wangu kuwa shida iko kwenye ubongo wetu.
Hata huo ubinafsi unasababishwa na ubongo wetu kutofanya kazi vizuri
 
Siku tukiacha kupokea misaada ndipo tutaanza kuendelea.
Katika zile tools za kuifanya Africa kuzidi kuwa masikini misaada,mikopo ni moja ya tools,wanatupa mikopo wanajua kabisa pesa zitadakwa juu kwa juu na mafisadi kisha zinarudi kufichwa Tena bank za ulaya.
Deni linalipwa na wananchi masikini milele na milele kwa mzunguko huo huo.
 
Ubongo huwa unakua trained ili ukidhi mahitaji !! Sisi bongo zetu zimekuwa trained ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi tuwe UNDEVELOPED !!
Sasa wao waekua trained na nani nani kuwa na maendeleo na sisi aliyetu train kwa makusudi/bahati mbaya tuwe masikini ni nani?

Amini ndugu ubongo wetu hauko sawa na wa wazungu.
Kama rangi zetu na wao zimeweza kuwa tofauti unafikiri inashindikana vipi na bongo zetu kuwa tofauti.
Inauma sisi kuumbwa mazezeta ila huo ndio ukweli.
 
Hapana mkuu, naamini MUNGU hakukosea kumwumba mtu mweusi, tatizo kubwa lililopo kwa weusi japo si wote, ni tabia ya kulishana ujinga, nafikiri.
Kwa nini mtu mweusi kila alipo matatizo yake ni yale yale? Kuanzia Haiti, Visiwa vya Caribbean, Afrika kwenyewe na hata niggazi waliomo ndani ya Amerika yenyewe...

Kwa nini? 🤔🤔🤔🤔
 
Nashikilia msimamo wangu kuwa shida iko kwenye ubongo wetu.
Hata huo ubinafsi unasababishwa na ubongo wetu kutofanya kazi vizuri
Mfumo wetu wa malezi ni mbovu ndo chanzo Cha kuulisha ubongo uchafu kupitia media
 
Ulichokiandika kinadhibitisha kuwa wametuzidi akili.
Ubongo wao uko vizuri kuliko wetu.
Kwa hiyo tatizo sio misaada tatizo ni wao wameumbwa na akili kutuzidi
 
Kwa nini mtu mweusi kila alipo matatizo yake ni yale yale? Kuanzia Haiti, Visiwa vya Caribbean, Afrika kwenyewe na hata niggazi waliomo ndani ya Amerika yenyewe...

Kwa nini? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
100% ni ukweli, Nchi masikini zaidi America ni Haiti ambayo 95% ni weusi.. inahitaji PhD holder aelezee hili??
 
UKUBWA WA PUA SIO WINGI WA MAKAMASI
 
Wananchi wawajibishe viongozi?

Mkuu unaishi nchi gani? Kwa Tanzania, mtu akishakuwa kiongozi anaogopeka sana. Akikasirishwa tu kidogo, utasikia, "Unanijua mimi ni nani?"
 
Masikini Africa
Tatizo kubwa hata mahali panapohitaji uwajibikaji wao wanaleta siasa. Mahali panapogusa maisha ya wananchi wao ni siasa TU. Mfano maeneo kama, ELIMU, AFYA, MIUNDOMBINU NBALIMBALI wao ni siasa. Mtu anaweza kuwa na uwezo wa kutatua kero za wananchi lakini hatatui, anasubiri Hadi kipindi cha uchaguzi. Yaani watu wanateseka yeye anasubiria uchaguzi ukaribie ndio atoe tamko. Kwa watu wanaojielewa ni vigumu sana kuendana na viongozi wenye slogan za namna hii, japo Denmark haijatoa sababu za kutaka kuufunga ubalozi wao. Mambo Yale ya mkuu wa wilaya kuwatia viboko watendaji wabovu yangeendelea nafikiri kidogo ingesaidi, samahanini nilikumbuka TU kule Lwangwa.
 
Ubongo huwa unakua trained ili ukidhi mahitaji !! Sisi bongo zetu zimekuwa trained ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi tuwe UNDEVELOPED !!
Hata mbwa ambaye amekuwa trained anaweza kuwa na manufaa makubwa kwa Taifa kuzidi binadamu mbumbumbu.
 
o na misaada, wazungu wanawasaidia Waafrika kwa kuwapa pesa na misaada ili wazidi kuwa masikini zaidi ili waweze kuwatawala.
Siku ulaya itakapo acha kuipa pesa afrika ndipo afrika itakapoanza kuinuka, wanatumiaa misaada kupush ajenda zao za Siri mfano ushoga,nk.
 
Ulichokiandika kinadhibitisha kuwa wametuzidi akili.
Ubongo wao uko vizuri kuliko wetu.
Kwa hiyo tatizo sio misaada tatizo ni wao wameumbwa na akili kutuzidi
Ubongo si hoja, bali kile mtu anachoaminidhwa.

Mwalimu mashuhuri wa Elimu Nafsi (Saikolojia), Professor William James anasema, "Whatever the mind can conceive and believe, can achieve"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…