AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kumbe ushajua shida ilipo? Wewe unakula faida ndani ya biashara ndio maana unashindwa kuelewa.. pesa za biashara zifanye mambo ya biashara utaona biashara inavyoenda na faida ya kutosha.. namaanisha hizo matumizi za chakula na vingine pesa usitoe ndani ya mfuko na mzunguko wa biashara ukifanya hivyo hizo 38,000 ukizikunja miezi 2 hivi piga 38,000 × 4 fanya twice i mean two months utaona jambo linafanyika kuna kitu utakiona na hii haihitaji mpaka uende kwa Mwamposa kwenda kutoa ushuhuda na kupigwa kibunda cha kujimaliza mtaji wote wa biashara wala nini ni kutuliza akili tu na kujua unafanyaje fanyaje ili uzikomboe hizo faida unazozitumia kila wikiMaana haya matumizi ni ya ndani ya biashara tu excluding personal expenses ni income nyingine tofauti na hii..
Sawa baba umeeleweka, asante sana!Kumbe ushajua shida ilipo? Wewe unakula faida ndani ya biashara ndio maana unashindwa kuelewa.. pesa za biashara zifanye mambo ya biashara utaona biashara inavyoenda na faida ya kutosha.. namaanisha hizo matumizi za chakula na vingine pesa usitoe ndani ya mfuko na mzunguko wa biashara ukifanya hivyo hizo 38,000 ukizikunja miezi 2 hivi piga 38,000 × 4 fanya twice i mean two months utaona jambo linafanyika kuna kitu utakiona na hii haihitaji mpaka uende kwa Mwamposa kwenda kutoa ushuhuda na kupigwa kibunda cha kujimaliza mtaji wote wa biashara wala nini ni kutuliza akili tu na kujua unafanyaje fanyaje ili uzikomboe hizo faida unazozitumia kila wiki
Nimekufungua hapo ulipojifunga usile hizo faida unashangaa faida inaenda wapi wakati faida unakula mwenyewe, how comes?Sawa baba umeeleweka, asante sana!
Ndio faida hizo nimegusia hapo ulipoandika Chakula matumizi tarehe 5 hadi 11 ni 38,000, sasa hio 38,000 isitoke ndani ya mzunguko na mfuko wa biashara hio ndio faida unayoila bila kujua kwamba unakula faida hata hizo expenses zingine za umeme na maji zitoke nje ya mzunguko na mfuko wa biashara ndio utaona biashara ina function vile ulivyo expect, generally speaking kaa chini tuliza kichwa kisha lifanyie kazi hilo suala la matumizi ya faida ndani ya biashara wenzio faida hawali wanazikimbiza Mobile Money au wanaziwahisha Bank fasta, hapo ndipo unapokwamaSijala faida mkuuu, matumizi ya ofisi yananimaliza kabisa🤦🏽♀️
Well explained mkuu, umenipa mwanga mpaka sasa najua cha kufanya🤗 nitajitahidi kuminimize costs mpaka ni eliminate kabisa hii hali ya matumizi yasiyo ya lazima!Ndio faida hizo nimegusia hapo ulipoandika Chakula matumizi tarehe 5 hadi 11 ni 38,000, sasa hio 38,000 isitoke ndani ya mzunguko na mfuko wa biashara hio ndio faida unayoila bila kujua kwamba unakula faida hata hizo expenses zingine za umeme na maji zitoke nje ya mzunguko na mfuko wa biashara ndio utaona biashara ina function vile ulivyo expect, generally speaking kaa chini tuliza kichwa kisha lifanyie kazi hilo suala la matumizi ya faida ndani ya biashara wenzio faida hawali wanazikimbiza Mobile Money au wanaziwahisha Bank fasta, hapo ndipo unapokwama
Sawa mkuu!Small things:
Tumia umeme na maji kwa ungalifu. Hakikisha vyoo vyako havivujishi maji. Vile vile usiache taa zinawaka kama kuna mwanga natural wa jua. Kama una air conditioner, izime wakati hakuna watu ndani ya jengo. usinunue chakula zaidi ya unachoweza kula; yaani usiruhusu kuacha makombo
Make sure biashara inajiendesha yenyewe ila hio level ya kutumia matumizi ya ndani ya mzunguko wa biashara hujafikia kwa ninavyoona mimi ndio maana unaona inakukimbiza au inakupa shida na kuona faida ni ndogo, huelewi kwa hio unabidi u-make kwanza yaan ufanye kutengeneza mtaji wa matumizi kutoka kwenye faida unayopata lakini itakuchukua muda at least 2 months ndio maana nikakupa mfano wa 2 months after that hutotumia tena pesa za kutoka kwenye faida kufanya matumizi mengine yoyote sababu umeshapangilia itakua inajiendesha yenyewe ulishaitengenezea mfereji mapema kwa sababu biashara itakua inajiendesha tu yenyewe umeshaipangilia, kwa hio kwa sasa tuliza kichwa angalia unafanyaje, something you must do very carefully before all is preparations, how well are prepared to do that? usikurupuke fanya arrangements za namna ya kufikia malengo yako vizuri unafanyaje na usitoke nje ya mstari ukiyumba tu umejivuruga unarudi palepale tena faida ndogo faida ndogoWell explained mkuu, umenipa mwanga mpaka sasa najua cha kufanya🤗 nitajitahidi kuminimize costs mpaka ni eliminate kabisa hii hali ya matumizi yasiyo ya lazima!
Ongeza mauzo. Turnover iongezeke eventually hizo expenses hazitakuwa mzigo. Weka nguvu zako kwenye mauzo.Habari wana JF,
Naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wenye uzoefu. Nina biashara ndogo ambayo kwa wiki inaweza kuniingizia kati ya 50,000 hadi 100,000, ingawa sio kila siku kuna biashara.
Kinachonitatiza ni kwamba, licha ya kuwepo kwa kipato, matumizi yanabaki kuwa makubwa kuliko pesa inayoingia.
Mfano halisi: wiki ikaingia 59,000, lakini matumizi yakafika 38,000. Matumizi hayo yanahusisha chakula, bili za umeme na maji, pamoja na baadhi ya vifaa. Ikabaki 21000, nadhani hapo naelekeka sasa namaanisha nini..
Baada ya kuondoa matumizi, faida inayobaki ni ndogo sana, kiasi cha kunifanya nishindwe kuelewa kama biashara hii inanipa faida ya maana au inanizungusha tu.. income>Expenses, lakini faida ya biashara inaonekana ndogo
Kwa uzoefu wenu:
- Je, hali kama hii ni ya kawaida kwenye biashara ndogo?
- Ni vipi naweza kupumguza expenses bila kuua biashara?
- Au kuna mbinu za kuongeza faisa hata kama mauzo si ya kila siku?
View attachment 3540163
Cha ajabu kwenye records monthly expenses zinashuka na faida kuonekana ipo, lakini sio kipato nilicholenga kulingana na biashara inavyoenda! Wajuzi mnisaidie naona navurugika kila nikifanya recordings, huwa nina kawaida ya kurecord kila ninachofanya, sasa naona siridhizishwi na haya matokeo ya mwisho!
NB, wale wanaotaka kujua aina ya biashara ni urembo in general..
Yaan afungue biashara zingine km 4 hivi kutoka 1 yaan afanye duplication ya mauzo maana yake inabidi afungue hio biashara zaidi ya mara 2 mpaka 4 au sio? Can you do that on PDF or on field?Ongeza mauzo. Turnover iongezeke eventually hizo expenses hazitakuwa mzigo. Weka nguvu zako kwenye mauzo.
Hapo sawa mrembo inatakiwa uwe mpambanaji mama lake, achana na hao wenzako wanaopambana kupitia k zao na vijambio ili watoboe. Wengine wanawinda matajiri waume za watu ili waolewe wake wa pili na watatu ili wagawiwe mali wakitarajia ndo watatoboa Kwa njia hizo.Habari wana JF,
Naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wenye uzoefu. Nina biashara ndogo ambayo kwa wiki inaweza kuniingizia kati ya 50,000 hadi 100,000, ingawa sio kila siku kuna biashara.
Kinachonitatiza ni kwamba, licha ya kuwepo kwa kipato, matumizi yanabaki kuwa makubwa kuliko pesa inayoingia.
Mfano halisi: wiki ikaingia 59,000, lakini matumizi yakafika 38,000. Matumizi hayo yanahusisha chakula, bili za umeme na maji, pamoja na baadhi ya vifaa. Ikabaki 21000, nadhani hapo naelekeka sasa namaanisha nini..
Baada ya kuondoa matumizi, faida inayobaki ni ndogo sana, kiasi cha kunifanya nishindwe kuelewa kama biashara hii inanipa faida ya maana au inanizungusha tu.. income>Expenses, lakini faida ya biashara inaonekana ndogo
Kwa uzoefu wenu:
- Je, hali kama hii ni ya kawaida kwenye biashara ndogo?
- Ni vipi naweza kupumguza expenses bila kuua biashara?
- Au kuna mbinu za kuongeza faisa hata kama mauzo si ya kila siku?
View attachment 3540163
Cha ajabu kwenye records monthly expenses zinashuka na faida kuonekana ipo, lakini sio kipato nilicholenga kulingana na biashara inavyoenda! Wajuzi mnisaidie naona navurugika kila nikifanya recordings, huwa nina kawaida ya kurecord kila ninachofanya, sasa naona siridhizishwi na haya matokeo ya mwisho!
NB, wale wanaotaka kujua aina ya biashara ni urembo in general..
Umewaza nini Mzee unamjua Nicole Joyce Berry? Tulia kwanza usije kwa pupa utakaaHapo sawa mrembo inatakiwa uwe mpambanaji mama lake, achana na hao wenzako wanaopambana kupitia k zao na vijambio ili watoboe. Wengine wanawinda matajiri waume za watu ili waolewe wake wa pili na watatu ili wagawiwe mali wakitarajia ndo watatoboa Kwa njia hizo.
Ulishaskia kahaba yupi au Malaya yupi yupo kwenye top 10 ya list ya matajiri KATIKA taifa au Dunia eti kwamba katoboa sababu ya kuuza k au kijambio.
Imagine hiyo biashara ndio inaendesha maisha ya kila siku mtu wa namna hiyo afanyeje ili aishi mkuu?Ndio faida hizo nimegusia hapo ulipoandika Chakula matumizi tarehe 5 hadi 11 ni 38,000, sasa hio 38,000 isitoke ndani ya mzunguko na mfuko wa biashara hio ndio faida unayoila bila kujua kwamba unakula faida hata hizo expenses zingine za umeme na maji zitoke nje ya mzunguko na mfuko wa biashara ndio utaona biashara ina function vile ulivyo expect, generally speaking kaa chini tuliza kichwa kisha lifanyie kazi hilo suala la matumizi ya faida ndani ya biashara wenzio faida hawali wanazikimbiza Mobile Money au wanaziwahisha Bank fasta, hapo ndipo unapokwama
SalesImagine hiyo biashara ndio inaendesha maisha ya kila siku mtu wa namna hiyo afanyeje ili aishi mkuu?
Inabidi uunde mpango mkakati ndio maana kabla ya kuanza biashara lazima uwe na Business Plan mkononi inayoweza kukupa Map ya biashara yako itaendaje kuanzia mwanzo kabisa wa biashara ili hapo kati usije ukayumbaImagine hiyo biashara ndio inaendesha maisha ya kila siku mtu wa namna hiyo afanyeje ili aishi mkuu?
Kwa mujibu wa maelezo huyo ni small-scale sio large-scale hawezi kua na big investment as you think but kuna namna nyingine anaweza kufanya km nilivyomueleza hapo juu, angesema yeye ni large-scale tungempa hizo awakeze Million 500 ataona faida mara dufu sasa mtu ukiangalia tu mtaji wake hauzidi 300k upto 400k this is smal-scaleKwa haraka haraka na akili zangu za weekend
Ni
1. Ongeza mtaji (sio mtaji wa 500k unataka faida 2m
2. Grow your sales (cash flow ionekane )
Pato ni dogo hata upate margin kubwa kiasi gani still utaiua biashara yako. Unaweza punguza hizo expenses kwa kupunguza maslahi ya wafanyakazi ama kukata kona mambo mengine ila itaathiri Afya ya biashara.Duhh umenichanganya hapa kwakweli! Hii faida kwa week ni kubwa kwa vigezo vipi unasema kina bakhresa hawana margin kubwa hivi?
Kwani kuongeza mauzo maana yake ni kufungua biashara mara 2 au 4?Yaan afungue biashara zingine km 4 hivi kutoka 1 yaan afanye duplication ya mauzo maana yake inabidi afungue hio biashara zaidi ya mara 2 mpaka 4 au sio? Can you do that on PDF or on field?