Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

tafuta mhasibu akupigie hesabu unakosea upigaji wako wa hesabu kuna principals of accounting unazikosea hauruhusiwi kuchanganya mahesabu ya biashara na binafsi yanatakiwa kujitegemea nk
Sawa mkuu
 
Asante sana kwa ushauri wako mkuu, ila sihitaji faida kubwa, nichonataka tu ni kuelewa kutoka kwa wazoefu kwanini expenses zinakuwa kubwa mpaka zina minimize income inabaki nusu ya pesa iliyoingia kwa week nzima!
Duuu, hili swali majibu unayajua mwenyewe.
 
Fungua kabiashara kingine ka ziada unakuwa na more than one option hiyo ziada unaweka mtu unayemuamini kusimamia huku wewe ukiendelea na hiyo at the end of the day unakuwa na double source of income
Unafikiri hataki kufanya hivyo!
Mtaji sasa
 
Ndugu yangu kuna location hata uongeze mtaji vipi mauzo yanabaki yaleyale. Hasa sehemu zenye limited number ya watu.
Biashara ni mauzo. Kama huwezi kuuza funga biashara kabla haijakufia.
Nimemshauri aongeze mauzo kuna njia nyingi za kuongeza mauzo. Kuongeza mauzo sio kuongeza mtaji tu. Hata ulivyonavyo unaweza kuuza vingi zaidi.
Location? Mimi niko Makumbusho nauza Songea,Mbeya,Katavi,Moshi,Arusha,Mtwara hadi Tarome? Bado unahitaji ufafanuzi? Nilisahau nina wateja hadi Malawi,Kenya,Zambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…