Umeshaambiwa Kitwanga ni founder, ila kwa sasa sio Director, hivyo kibiashara anasubili gawio la faida mwisho wa mwaka.
Ok, hata kama Kitwanga angekuwa ni Director kwa sasa, bado wameweka mambo wazi kama infosys, ambayo yako crystal clear.
Watanzania wengi tunapelekwa na matakwa ya wanasiasa, Lowasa alivyokuwa CCM tuliambiwa ni fisadi, tukimuona tumzomee, ameingia CHADEMA amekuwa msafi kama malaika.
Vijana tuache kutumika katika siasa!
Fact kwamba Infosys imetajwa katika hilo deal na ni kweli wamekili kushiriki ni wazi kwamba yapo mengi tunayoweza kuyapata kuhusiana na ufedhuli huo. Ingekuwa hawajui chochote juu ya hilo deal, tungesema kuna haja ya kupunguza vidole na sauti kwa Infosys. Kitwanga hachomoki.
Ushauri: Acheni kufanya usanii kwani hamjui kuwa kila kitu kipo mikononi mwa vyombo vya uchunguzi kwa hatua Zaidi. Upuuzi wa kutuletea clip za kujaribu kupoteza ukweli haziwasaidii kwa sasa.