Infosys IPS (T) LTD wakanusha kuhusika na LUGUMI katika kashfa ya ubadhirifu

Infosys IPS (T) LTD wakanusha kuhusika na LUGUMI katika kashfa ya ubadhirifu

Jamaa kajichanganya mara hawana uhusiano na Lugumi, mara tulipofanya utafiti tukagundua lugumi aliwapa kazi biometrica...

BTW, huyo anayemhoji meneja anaongea kama Mzee Mwanakijiji
Hakujichanganya kbsa kwani Lugumi kuwa na mkataba na Biometrica kuna uhusiano gani kwnye mkataba wa Infosys na Biometrica?

Hapa pia aangaliwe Lugumi kwanini kalipwa pesa kwa mkupuo huku kazi ikiwa haijakamilika
 
Haya sasa ukweli umewekwa wazi kumbe ni juhudi za kumpiga vita Waziri Kitwanga na kutaka kuichafua serikali ya Magufuli.

Wapiga dili tafuteni kiki nyingine ukweli ndio huu.
Ukweli ninini? mbona hupendi kufikiri ? akili za kuambiwa changanya na zako japo najua zipo kdg sana!
 
Hata ningekuwa mie siwezi kukubali kirahisi hivi. huyu jamaa hata ukimsikiliza vzr inaonekana kulikuwa na kikao kizito sana ndo akaambiwa kaongee haya!!!!!
 
Sasa hili jina la Biometrica hatujalisikia mwanzoni; hekima inapotuita tukae kimya wengine wanatushangaa.
Mkuu sema ulikuwa unasubiri wajitetee au kukanusha ili uwe upande wao. Km Biometrica imefanyakazi na infonsy na biometrica imefanyakazi hiyo hiyo na Lugumi na waziri kitwanga ni mmoja wa wamiliki wa infonsy bado huoni km kuna tatizo au ukishakuwa ccm lazima ujitoe ufahamu!??
 
- nilivoelewa, Biometrica wamepewa tenda na jeshi.....

- huyu jamaa anadai hao biometrica walikwenda Dell na kukuta infosys ipo kule ndio wakapata mawasiliano nayo ....( lazima kulikuwa na recommendation kutoka mahala kwa biometrica waangalie infosyis kwanza , biometrica ili kujiridhisha akaenda DELL kwanza ) na kama kweli wapo legit na dell sioni tatizo lolote...

- mpaka hapa sioni kosa lolote lilifanywa na infosisy sababu wao wali deal na biometrica moja kwa moja .... na pesa hawakupewa toka TANZANIA .

- mwisho wa siku naona LUGUMI ndio jina la mchezo.... tusiwe wepesi kuhukumu lakini... ila LUGUMI ndio wanaoweza kunyamazisha hizi kelele zote !!
 
Sasa hili jina la Biometrica hatujalisikia mwanzoni; hekima inapotuita tukae kimya wengine wanatushangaa.
Mi cha kwanza kushangaa ni pale wanahabari waliposema eti Mkurugenzi wa NIDA ni moja ya shareholder. Yaani kampuni ile original shareholder walikuwa 4, ila baadaye wakabaki 3. Ila ni vema kusisitiza waandishi wa habari kufanya uchunguzi. Yaani ndiyo tunaona watu walivyo waongo 100%
 
- nilivoelewa, Biometrica wamepewa tenda na jeshi.....

- huyu jamaa anadai hao biometrica walikwenda Dell na kukuta infosys ipo kule ndio wakapata mawasiliano nayo ....( lazima kulikuwa na recommendation kutoka mahala kwa biometrica waangalie infosyis kwanza , biometrica ili kujiridhisha akaenda DELL kwanza ) na kama kweli wapo legit na dell sioni tatizo lolote...

- mpaka hapa sioni kosa lolote lilifanywa na infosisy sababu wao wali deal na biometrica moja kwa moja .... na pesa hawakupewa toka TANZANIA .

- mwisho wa siku naona LUGUMI ndio jina la mchezo.... tusiwe wepesi kuhukumu lakini... ila LUGUMI ndio wanaoweza kunyamazisha hizi kelele zote !!
Sikiliza vizuri hayo maelezo,ameeleza wao wamepewa tenda na biometrica kwa mawasiliano hayo aliyotaja. Lkn baadae amekiri kujua biometrica walikuwa wanafanyakazi chini ya Lugumi ingawa wao hawakujua. Ukiunganisha hivyo vitu,lazima ujue kuna tatizo hapo..!!
 
Duh!Ama kweli Tanzania yetu ilikuwa na uchumi wa kuweza kujitegemea,ingekuwa vinginevyo kwa haya mabilioni yanayochotwa kiasi hiki pengine TZ isingekuwepo tena!
 
Kwa maelezo mengine Lugumi ni dalali tu, lakin ka win tenda.

Yale yale ya Richmond, kampuni kupewa tenda bila ya kuwa na Ujuzi, Uzoefu, vitendea kazi, nk nk. Ni kubebwa tu.

Kwa kweli, mikataba na tenda zote na Serikali zifutwe na JPM halafu zitangazwe upya na kwa uwazi. Kuna nyingi za vijsenti (Bilioni Tsh) hivi ambazo zinadunda tu
 
Mkuu Infomer asante kwa hii.

Naomba nisaidie hapa,

Mwenye deal ya supply ni Lugumi, supplier ya Biometrica ya US, Lugumi amekwenda ili auziwe, lakini Lugumi hawezi kufanya physibility study ya needs and assesment, ndipo huyo Biometrica akawatafuta Infosis na kuwapa kazi ya kufanya study ya Needs and Assesment kwenye vituo vya polisi 108. Alipokamilisha kazi yake, akalipwa!.

Hili la Kitwanga kuwa ni mmiliki halina tatizo as long as baada ya kuingia kwenye siasa, aliacha kushughulika na kampuni.

Kikweli nimemuona huyo meneja anajiuma tuu kuhusu Kitwangwa na alipoulizwa kama Kitwanga anafika hapo, alidanya wazi kuwa hajawahi kufika tena kitu ambacho hakiwezi kuwa kweli!. Kutokujishugulisha na biashara is one thing na kufika hapo is another.

Kwenye issues kama hizi wahusika hushauriwa kuwa very brief, ukiishasema infosis haikupewakazi na Lugumi bali imepewa na Biometrica, ilitosha, huyo meneja hakupaswa kuongeza neno baada ya hapo, anawezakujikuta anajikanyaga mwisho akaharibu.

Pasco
Mkuu pasco umefafanua vizuri ngoja na mm niongeze nyama kidogo na nitaluhusu kukosolewa pale nitakapokosea kwani mm sio manasheria ila nina uzoefu wa kutosha, lile kabrasha la tenda kuna kitu kinaitwa TENDER DATA SHEET ambayo inatoa requirement zote za tenda husika kwa mfano

1.kujua uwezo wa kifedha wa kampuni, uzoefu ikiwemo na kuonyesha kazi ilizowahi kufanya zinazofanana na kazi husika, wataalam ilionao, na kwa kampuni za nchini zinatakiwa ziwe na doc ya Manufacture Authorization kwani wao sio watengenezaji wa hivyo vifaa

2. kwa kazi kama hii Kampuni ya lugumi ambae ni (SP) service Provider ni lazima atatakiwa kutembelea maeneo yote atakayofunga hiyo mitambo kwa hiyo ni ngumu kusema bio metric wafanye study wakati wao wamepewa kazi na lugumi

3.na haya makbrasha ya tenda yapo kwenye website ya PPRA na kwa sheria yetu inazitaka taasisi zote za serikali kuchukua formula ya kabrasha la tenda huko PPRA maana wao ndio regulator wa manunuzi ya umma mpaka GPSA na wao hii inawahusu na hii PPRA inao uwezo wa kuifungia taasisi nunuzi isifanye manunuzi kama itaonekana imekiuka taratibu na hapo hapo itaichagulia hiyo taasisi ikitaka kufanya manunuzi nani taasisi ipi iwafanyie manunuzi

4. kinachoonekana hapa lugumi alikuwa ni middle man na ni mategemeo yangu PPRA nao wafatilie ingawa hapa sheria inaitaka PPRA wafanye kesi pale itakapopata malalamiko toka kwa kampuni mojawapo zilizoomba ila kwa kuwa kuna malalamiko na wao ndio regulator waifatilie hii tenda je? ilifata taratibu zote na kama haikufuata hao polisi wafungiwe kufanya manunuzi ichaguliwe Taasisi nyingine iwe inawafanyia manunuzi

Mwisho kama hii tenda ingefuata taratibu za manunuzi tusingemuona hapa Infoysis wala Biometric kwa sababu ya ujanja ujanja ndio maana tunaziona hizi kampuni za kina kitwanga na tutaziona nyingi zitakuja yote hiyo ni kutaka kututoa kwenye hoja ya msingi
 
1. Wewe ni waziri tena wa wizara ambayo kampuni uliyoianzisha wewe wana mahusiano ya kibiashara. Je huoni kwamba kuna mgongano wa kimaslahi?

2. Ikiwa wizara yako imetangaza tenda kampuni yangu ikatenda na Infosys uliyoianzisha wewe ikatenda, naweza kupewa mimi? Hata nikikosa kwa haki na ikapata Infosys nitaridhika?

3. Hivi ni sahihi kampuni zenye mahusiano na mawaziri kufanya kazi na serikali wanayoitumikia?

4. Kampuni yako imekanusha kuijua wala kushirikiana na Lugumi. Wewe binafsi unaijua Lugumi na wamiliki wake? Kama unaijua inawezekanaje watu wa kampuni uliyoianzisha hawaijui?

5. Kelele kubwa zinaendelea kuhusu wizara unayoiongoza, kimya chako kinasababishwa na nini? Mbona hujatoka hadharani kuzungumza lolote kuhusu kinachoendelae ofisini mwako?

6. Unasubiri kutimuliwa? kwa nini usimwombe bwana mkubwa akuweke pembeni ili uchunguzi uendelee vizuri ofisini kwako?

7. Ni kweli kwamba una uhusiano/rafiki wa karibu na bwana mkubwa?

8. Uhusiano huo kama upo ni wa kawaida au wa kibiashara?

9. Kama ni wa kibisahara anahusika kwenye Infosys?

10. Kama mna uhusiano kama inavyosemekana huoni kwamba unampa mtihani mkubwa sana rafiki yako?
ni vizuri sasa tuambiwe wakurugenzi wa hii kampuni kwa ss na wakati anajitoa alimuuzia nani hisa na aliziuza sh ngapi
 
Mkuu wakati Magufuli na serikali yake wakipambana kuleta maendeleo ya nchi yetu kwa juhudi kubwa kuna watu wanapambana kuona hafanikishi hilo kwa manufaa ya vyama vyao na dili zao. Kelele nyingi ila ndio mafisadi wakubwa tungewaachia funguo ya hazina tungejuta sisi na vizazi vyote.
MTAJI MKUBWA WA WANASIASA NJAA NI MATATIZO YA WATU.WAKIONA MATATIZO FULANI YANATATULIWA HUWA WANAJISIKIA VIBAYA SANA.
 
Mkuu wakati Magufuli na serikali yake wakipambana kuleta maendeleo ya nchi yetu kwa juhudi kubwa kuna watu wanapambana kuona hafanikishi hilo kwa manufaa ya vyama vyao na dili zao. Kelele nyingi ila ndio mafisadi wakubwa tungewaachia funguo ya hazina tungejuta sisi na vizazi vyote.
kupenda shida kwa hiyo watu wasihoji kujua kitwanga aliuza hisa zake lini na kwa nani mbona mnakimbia hoja
 
mwemaaahhh kaoa dadake adada
Madudu aliyofanya shemeji yamehamishwa PAC kapelekewa mkaza dada (kwa msemo wa Tanga maana muoa dada)? Tena mwenzetu m CCM ? Hapo hakuna kitu itapita tu na hii
 
who is the sitting minister of home affairs?

why police hawatii maelekezo ya PAC
 
Huyo mwanahabari ni nani mbona anauliza leading questions?
 
Back
Top Bottom