Kutaka uthibitisho kama Budha, yesu na Mohamed walitunga sheria za dini ya Ubudha, ukristo na uislamu respectively,Kweli hao wote ni binadamu, lakini hakuna sehemu umethibitisha wao ndio watunzi wa sheria hizo
SAWA MKUU NIMEKUPATA NA HUO NI MTAZAMO WAKO JUU YA MADA HII. LAKINI SHERIA NA TARATIBU NI MUHIMU KATIKA MAISHA YA MWANADAMUAnaandika GEREMY BENTHAM baba wa furaha ( UTILITARIAN)
🔹 WATU HAWATENDI MEMA AU MABAYA KWA SABABU YA UWEPO AU KUTOKUWEPO KWA MUNGU AU DINI
🔹 HATA KAMA MUNGU ASINGEKUWEPO AU YUPO ILA HAJIHUSISHI NA MASUALA YA BINAADAM BADO WANGEKUWEPO WATENDA MEMA NA WATENDA MABAYA KAMA ILIVYO KWA SASA
🔹KUNA BAADH YA JAMII ZA KICHINA HAWAJUI LOLOTE KUHUSU MUNGU ILA WAMETENDA MEMA DUNIANI KWA KUGUNDUA TECHNOLOJIA ZA KUMSAIDIA BINAADAM KULIKO WENYE DINI WANSOKESHA KILA SIKU NA MAPAMBIO AU WANAOFAFIRI MPAKA SAUDI ARABIA KUMRUSHIA MAWE SHETANI NA KUZUNGUKA KALE KADUDE
Sawa mkuu, lakini uwepo wa sheria zote za dini na za kidunia, ni muhimu kuzingatiwa kwani pasipo hivyo, vurugu na matatizo yatazidi.Sheria zinazaliwa ndani ya utashi wa watu tu , na kukubaliana kama wamoja kuziishi katika misingi ipi kwa pamoja , ili kuwa na uwiano mzuri wa maisha.
Unafikiri hawaolewi hao watoto wa umri huo,,na unafikiri watu hawajilimbikizii hao Wanawake Kwa sasa?Umechelewa sana yapo ma na yanafanyika vizuri mnoo,,hakuna jipya chini ya juaSijui ingekuwaje, watu wanaoa watoto wa miaka 9.
Watu wangejilimbikizia wanawake 1000 na wengne kukosa.
Kama walikopi kwa watu wa nyuma, je ni kina nani hao na ni nani muanzilishi wa kwanza kutunga sheria hizokweli, kunaweza kuwa na vipengele walivyokopi mahali, lakini huko walikokopi nako vilitungwa na wanadamu.
Sio kwamba hawaelewi wanaelewa na wapo sahihi kabisa kubaguana na vitabu vya dini vyote vina wataka wafanye hivyo.Waumini wengi wa dini hawajui na hawaelewi vyema sheria zao, ndymaana unaona ubaguzi na migogoro.
Sheria zao zipo perfect, lakini wao wanakosa elimu na uelewa na kusababisha kutokuwa perfect katika matendo yao.
Sisi marasta man tunaamini katika peace and love for all 😂, hao wengine kama wanabaguana mimi sijui kwakweliSio kwamba hawaelewi wanaelewa na wapo sahihi kabisa kubaguana na vitabu vya dini vyote vina wataka wafanye hivyo.
Dini imejijenga kwenye miimili mitatu AHADI + KIFO + ADHABU YA MILELE ila binadamu tunatakiwa tuvuke hiyo stage ya kutenda mema pasipo ahadi wala kitisho cha kifo na adhabu za milele.Sawa mkuu, lakini uwepo wa sheria zote za dini na za kidunia, ni muhimu kuzingatiwa kwani pasipo hivyo, vurugu na matatizo yatazidi.
Sodoma na Gomora nchi nzima walikuwa wanaf**, manefili walitaka kuwaF malaila, unataka kusema dini ndio iliwafundisha hao au unaandika tu kutokea sebuleni kwa shemeji yako bila kushirikisha ubongo?
Sheria nyingi zilizopo katika dini zimekuwa zikilinda status quo wa wakati huo..., Kuna suala la Watwana (watumwa) na Mabwana lilikuwa ni jambo la kawaida na ruksa kwenye maandiko..., kwanini unaweza kujiuliza, Jibu ni kwamba wakati huo ambapo nguvu kazi zilihitajika zaidi ilibidi wengi wawe watumwa kuwatumikia wachache (hence story kwamba viongozi / watawala ni chagua la Mungu)Vipi kuhusu sheria zilizopo katika dini, je hazina umuhimu katika maisha ya kawaida ya mwanadamu?
Hapo sasa umegusa maswala ya Kiimani na kuamini, kama mtu anaamini hayo ni haki yake kufanya hivyo, kama ilivyo uhuru wa kuchagua ni wapi au nani wa kuabudiwaDini imejijenga kwenye miimili mitatu AHADI + KIFO + ADHABU YA MILELE ila binadamu tunatakiwa tuvuke hiyo stage ya kutenda mema pasipo ahadi wala kitisho cha kifo na adhabu za milele.
Umewahi kufika nchi za Scandinavia? Watu siyo washika dini, hawaendi makanisani lakini huwezi kukuta wanafanya maovu kama huku kwetu. Vipimo vya uovu ni dhamira zao. Of course siyo wote lakini wengi ndiyo walivyo. Hata kama ana uwezo wa kuiba kitu bila kujulikana lakini atakuambia dhamira yangu inaniambia ni vibaya kuiba.Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa kukemea.
Dini zisinge kuwepo, kipimo cha uovu kingekuwa ni nini? Makatazo ya maovu yangetoka wapi?
Ingekuwa vipi?
Kila mtu anayo haki ya kuamni chochote anachopenda ndioHapo sasa umegusa maswala ya Kiimani na kuamini, kama mtu anaamini hayo ni haki yake kufanya hivyo, kama ilivyo uhuru wa kuchagua ni wapi au nani wa kuabudiwa
NAKAZIAUmewahi kufika nchi za Scandinavia? Watu siyo washika dini, hawaendi makanisani lakini huwezi kukuta wanafanya maovu kama huku kwetu. Vipimo vya hofu ni dhamira zao. Of course siyo wote lakini wengi ndiyo walivyo. Hata kama ana uwezo wa kuiba kitu bila kujulikana lakini atakuambia dhamira yangu inaniambia ni vibaya kuiba.
Hata mtoto mdogo kabisa asiye jua dini yoyote ukimchunguza anatambua mema na mabaya kwa kulinganisha mazingira , ndio maana katoto kachanga ukikachekea kanatabasamu ila ukikatisha na sura kanalia.Umewahi kufika nchi za Scandinavia? Watu siyo washika dini, hawaendi makanisani lakini huwezi kukuta wanafanya maovu kama huku kwetu. Vipimo vya hofu ni dhamira zao. Of course siyo wote lakini wengi ndiyo walivyo. Hata kama ana uwezo wa kuiba kitu bila kujulikana lakini atakuambia dhamira yangu inaniambia ni vibaya kuiba.
Scandinavia sijawahi kufika.Umewahi kufika nchi za Scandinavia? Watu siyo washika dini, hawaendi makanisani lakini huwezi kukuta wanafanya maovu kama huku kwetu. Vipimo vya hofu ni dhamira zao. Of course siyo wote lakini wengi ndiyo walivyo. Hata kama ana uwezo wa kuiba kitu bila kujulikana lakini atakuambia dhamira yangu inaniambia ni vibaya kuiba.
Uko sahihi kabisa.Hata mtoto mdogo kabisa asiye jua dini yoyote ukimchunguza anatambua mema na mabaya kwa kulinganisha mazingira , ndio maana katoto kachanga ukikachekea kanatabasamu ila ukikatisha na sura kanalia.
Inamaana Bibilia ya sasa inakosa baadhi ya vipande muhimu?Hii Biblia tunayoitumia ni Roman Catholic church ndio walioamua tuitumie kwa kuficha vitabu vingine visivyopaswa watu wa chini kuzijua siri zingine za dunia.
Yapo makusanyo mengi sana nje ya hii Biblia pale Vatican