Yupo njiani, soon ๐คฐ๐ผNatamani nipate mdogo wangu jamani
Duhh mafuta!!๐ซ
Mimi huwa kuna kitu kinaiambia min -me ndiye raraa rereeUtajuaje ni I'd yangu pia๐ ๐
Hahahaa mimi min ni mtukutu sana tofauti na hizo I'd unajua hilo?Mimi huwa kuna kitu kinaiambia min -me ndiye raraa reree
Ila tofauti raraa sio mtu wa kucomment kivile mara moja moja hapo ndio mnaponishinda tabia.
Tukirudi kwa bwana mkwepu ana tofauti kubwa sana na nyinyi alikuwa cool sana yeye ni like tu ๐
Ni sahihi kabisa rararee na mkwepu ni watu ambao sio machachari kivileHahahaa mimi min ni mtukutu sana tofauti na hizo I'd unajua hilo?
Bwashee kwamba mimi ni machachari?Ni sahihi kabisa rararee na mkwepu ni watu ambao sio machachari kivile
Yapo mkuu leta mada , uzuri mmoja ni๐ค mfuasi wako namba moja toka 2012Hivi kuna majukwaa kama Chitchat, MMU nishayasahau, wakati enzi hizo ndio yalikuwa kijiwe nongwa
Bwashee nita zitumia next worldKwa hiyo bwashee mpaka siku utakufa na Figo zako nzima hauta onja pombe kabisa๐ค
Bwashee natamami sana niwasimulie jinsi mimi na enjoyed maisha , ila naona nipotezee tu๐ ๐ ๐Bwashee nita zitumia next world
Oyaa ndiyo hivyoBwashee kwamba mimi ni machachari?
Wamegoma kupelekwa mjini๐๐๐Wamechukia hawataki niwa rekodi ๐ข
Oyaa ndiyo hivyo
Hawana hela usipindisheWamegoma kupelekwa mjini๐๐๐
Mizani ime balanceBilabila Ila muuza lambalamba anapelekewa moto balaaa
Yapo mkuu leta mada , uzuri mmoja ni๐ค mfuasi wako namba moja toka 2012
Nipo vizuri na anajua...upigane una nguvu?๐ ๐